Raisi anapo nyeshewa

Raisi anapo nyeshewa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
[TABLE="width: 600"]
<tbody>[TR]
[TD="width: 100%"]

<tbody>
[TD="align: center"] [/TD]

</tbody>
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%"]

<tbody>
[TD="width: 320"]

<tbody>
[TD="width: 100%"]

<tbody>
[TD="align: left"] [/TD]

</tbody>
[/TD]

</tbody>
[/TD]

</tbody>
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
alikuwa anaenda wapi??? Hakuweza kusubiri kwenye gari or something?
 
go2.jpg


Huyu hapa wetu pia....alijitolea kupigwa na mvua.
 
Safi sana..bora baba anyeshewe lakini sio mama.chezea tamu wewe.
 
Kwa kule kwetu tunasema "Rais anaponyewa"
 
Hahahaa, watu mna roho za kutu kweli, Obama akinyeshewa mvua uzalendo, jakaya just a show!

Wandugu, Watanzania ndivyo tuliivyo..Usishangae tazama takwimu hii:-
UZALENDO = 0 (hatuna)
UTAIFA = 0 (udanganifu)
UTU = 0 (mfilisiko)
MSIMAMO = 0 (kigeu geu)
VINGINEvyo = 0 (vugu vugu)
Tuna dharau vyetu na kuponda vyakudumu. hatuna uadilifu hata kwa kiwango maalumu.
 
hilo hapo lililosimama hapo mbele limegongelewa hapo? na kwenye gari atapandaje na uchapachapa wake?? jingine lile kule limesimama karibu na mkuu wa majeshi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom