palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Mahakama imewatia hatiani kwa makosa ya rushwa, wizi wa fedha za umma na biashara ya madawa ya kulevya na hivyo watatumikia kila mmoja miaka 35 jela. Mahakama pia imewaamuru kulipa dola za kimarekani Millioni sitini na sita ($66 million)
BBC News - Tunisia's Ben Ali jailed in absentia for 35 years
BBC News - Tunisia's Ben Ali jailed in absentia for 35 years