Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,977
- 95,327
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.
Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.
Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.
Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.
Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.
Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.
Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.