Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,951
95,253
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

Screenshot_20230520-130612_Google.jpg
 
Kuimaliza Russia ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu sana ya NATO, Zelensky anatumika kama scapegoat..

Russia was a really threat to the entire regime, power influence and economics to the entire NATO group and their allies.

Labda ungeuliza atawalipa nini maelfu ya raia wake waliopoteza uhai kwa vita isiyo na sababu za msingi kwenye mambo yaliyokuwa yanazungumzika.
 
Ukraine inatumika kama buffer zone (uwanja wa vita) kwenye vita ya wababe wa dunia kupigania maslahi yao ya kiulinzi na kiusalama na si kingine......na baada ya hiyo vita ukraine itajengwa upya kwa pesa za wababe hao hao na hakuna watakacholipa zaidi ya hiki wanacholipa sasa.
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee?jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako. View attachment 2628605
Russia ina maliasili nyingi sana, ndizo zitakazo tumika kuwalipa
 
Hatimaye Ukraine itashindwa tu baada ya kuwa imeharibika vibaya, mazingira yakiwa yameharibika kabisa. Juzijuzi tu moja ya silaha aina ya depleted uranium (shells) zikiwa ghalani zimelipuliwa na zina madhara kwa .mazimgira.
Russia kamwe na kwa gharama yeyote kwake ushindi ni lazima.
 
Ukraine inatumika kama buffer zone (uwanja wa vita) kwenye vita ya wababe wa dunia kupigania maslahi yao ya kiulinzi na kiusalama na si kingine......na baada ya hiyo vita ukraine itajengwa upya kwa pesa za wababe hao hao na hakuna watakacholipa zaidi ya hiki wanacholipa sasa.
Hivi unaelewa hata maaana ya 'buffer zone' mkuu wangu?
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee?jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako. View attachment 2628605
Kwenye hili umepotoka sana ndugu yangu.

Jiulize, hivi nchi za Magharibi walipowaisaidia sana South Korea, hadi leo Korea kusini kufikia kuwa nchi tajiri kuizidi hata Urusi (achilia mbali North Korea ambayo wananchi wake wanaishi kwa kujikimu), South Korea wanalipa nini kwa mataifa ya magharibi? Je, wananchi wa South Korea wameuzwa kwa nchi za Magharibi? Jiulize pia, baada ya vita kuu ya Dunia, US iliisaidia sana Ujerumani Magharibi na Japan. Je, baada ya hapo hizo nchi zinailipa nini Marekani?

Na huko unakosema wananchi watauzwa, ebu fafanua, binadamu anauzwaje kutoka taifa lake kwa Taifa jingine? Maana binadamu siyo kitoweo au mchele.

Sioni namna ambayo Ukraine italazimishwa kumlipa yeyote. Urusi imepewa misaada mingi ya kifedha kutoka nchi za magharibi miaka ya 1900 mpaka 2000, imekuwa ikiyalipa nini hayo mataifa ya magharibi?

Sisi tuliwasaidia waganda, waSouth Afrika, Msumbiji, Komoro, Angola; je, wanatulipa nini?

Fahamu mpaka leo, wananchi wa North Korea wanauawa mpakani na South Korea, wakitorokea South Korea kutafuta unafuu wa maisha. Na kama kusingekuwa na sheria kali za kuwazuia wananchi wa North Korea kwenda South Korea, mamilioni ya wananchi wa North Korea wangehamia South Korea kuliko kubakia kwa yule Rais wao kichaa.
 
Huu ni msimamo wako mkuu na utaheshimika na kila mmoja
 
Hivi unaelewa hata maaana ya 'buffer zone' mkuu wangu?
Kama hujui uliza kuliko kujitia ujuaji, buffer zone kwa maana kwamba hawataki ionekane kama ni vita ya moja kwa moja kati ya marekani/ulaya na urusi kwa maana ikionekana hivyo uwanja wa vita utabadirika kutoka ukraine kuhamia nchi husika na hiyo itakuwa ni escalation ya hatari kuliko unavyoweza kufikiri kwani itazaa vita ya dunia, umeelewa sasa?
 
Hatimaye Ukraine itashindwa tu baada ya kuwa imeharibika vibaya, mazingira yakiwa yameharibika kabisa. Juzijuzi tu moja ya silaha aina ya depleted uranium (shells) zikiwa ghalani zimelipuliwa na zina madhara kwa .mazimgira.
Russia kamwe na kwa gharama yeyote kwake ushindi ni lazima.
Tupo pamoja mkuu
 
Back
Top Bottom