Rais yuko busy na kusaka namba za simu za wanamuziki

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
69,280
136,455
Raisi wetu anaacha kufanya mambo muhimu kwa uchumi wetu yeye yuko busy na kusaka wasanii wenzake ili apige nao picha.
Hii ni aibu kwa Taifa letu, yaani huko nje bila shaka wanatuona sisi ni mazuzumagic kabisa. Yaani kumchagua Kikwete kama kiongozi wa Taifa.
Taifa letu lina shida kubwa ya umeme, sukari na maji ya bomba. Badala yeye kutafuta suluhu ya matatizo hayo yeye yuko busy na kupiga picha.
Kwa mwenendo huu yeye ndio anaona anakamilisha ule msemo wake wa Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania
 
Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
91

Tunasherehekea miaka 50 ya Uhuru.. Ilikua ni mhimu kuonana na 50Cent, Bila hivyo sherehe zisingenoga...

50Cent for 50 years of Independence
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom