Rais wetu mpendwa pokea salaam za Pasaka

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,130
2,102
Pamoja na salaam hizo za Pasaka naomba kukujulisha kuwa

"Mpaka saa hii nikiangalia level of shamrashamra mitaani napata imani kwamba Psaka hii inaliwa rohoni tu, tena katika Roho na kweli".

Shikamoo Rais wetu
 
tatizo la bongo economic principles zinakuwa enterpreted na mzee wa korosho akishirikiana na jambazi vamia vamia ofisi za watu
 
Leo ni pasaka Mkuu, binafsi nmejikuta nmelala tu na cjalala kwa kupenda bali kufulia kiasi cha kukosa hata nauli ya kutokea hahahaaaaaaaaaaa. Shikamoo kubwa sana kwako JPM.
 
Ila mwezi wa saba lazima nitafika na sihami hapa mjini. Mana ulishatuambia atakayefika mwezi wa saba mwaka huu hapa mjini n mjanja bac m n mjanja mojawapo lazima nifike hata kwa kuungaunga ila kijijini sirudi.
 
Leo ni pasaka Mkuu, binafsi nmejikuta nmelala tu na cjalala kwa kupenda bali kufulia kiasi cha kukosa hata nauli ya kutokea hahahaaaaaaaaaaa. Shikamoo kubwa sana kwako JPM.
Kwa haraka haraka atahisi kafanikisha lengo la kufanya watu waishi kama mashetani,upande wa pili anasahau kwamba sikukuu kama hizi ndipo TRA hukusanya mapato,ambayo humpa yeye pesa za kutimiza ahadi na kulipa mishahara,kwa hiyo madhara yanazunguka tu,leo pasaka watu hawajatumia pesa,na yeye pia serikali haijaingiza pesa,hunipi,sikupi
 
Aah bana ina maana umechagua kununua bando badala ya msosi halafu lawama kwa magufuli aisee!!
Leo ni pasaka Mkuu, binafsi nmejikuta nmelala tu na cjalala kwa kupenda bali kufulia kiasi cha kukosa hata nauli ya kutokea hahahaaaaaaaaaaa. Shikamoo kubwa sana kwako JPM.
 
Back
Top Bottom