"Rais" Wetu Hana iPAD?

Anaenzi mila ile wengine nashindwa
 
Hapo jamaa mbona alikuwa amefunga mdomo? wazoefu niambieni, ukiongea na mtu kwa karibu akawa anakujibu kwa kufungua mdomo kidogo au kwa kusema mmhnhu mmmmm bila kufungua mdomo maana yake nini? hahhaha


Anatumia modem ya easy net!
 
i-PAD haimfai rais wetu kwa sasa ingawa mnataka atumie kwani hatujaweza kudhibiti vyombo hivi kiteknolojia. Hadi hapo tutakapo weza ndiyo itafaa atumie...!!!
 
Huu ni uchokozi na unachekesha sana...........................najiuliza tu nini Rais alikuwa anamuandikia jamaa kwenye kikaratasi, i'm really curious halafu mbona pen yenyewe haijakaa ki "presidential"
 
Alikua anamchorea ramani ya jiji la Darisalama ammegee Kisilesi jamaa aje kujenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…