mapema wakati tayari kila dalili zinaonesha kuwa watu wameanza ndugu yangumapema sana kuijadili!bado miaka minne na wiki moja kuanzia leo!
Riz 1, atahamia CHADEMA nini?riz1.............
kama ndiyo hivyo mkuu, basi tuna wapiganaji wazuri sana, na inamaanisha yeyote anaweza.Huyo Maghufuli unaemuona mmoja tu CCM,
CDM wote wako hivyo sasa kwa taarifa yako.
maneno ya watu hayo, mbona hiya kitu ni ya ben. bana, angeweza mwenyewe?Anakashfa ya national housing! au umeisahau? Itamgharimu sana.
wote magufuli na slaa hata wawe chama gani hawafai kwa tabia zao.ni watu ambao mtu akipata tabu au kulipiza wanaona rahaNo one i can trust in CCM!!! We need some from opposition and this is Dr W Sla'a
Huyo Maghufuli unaemuona mmoja tu CCM,
CDM wote wako hivyo sasa kwa taarifa yako.
Alifanya nini national housing? Tofautisha kati ya national housing na TBAAnakashfa ya national housing! au umeisahau? Itamgharimu sana.
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.
Mbona hatutaki kuelewa hata hesabu rahisi? Magufuri ndiyo ccm, wanakamilisha haka kamethali: lakuvunda...............................................ubani.:washing:
hapo kijana Magnificient umenena hata mimi CHADEMA DAMU na Mwanachama kwa maoni yangu ndani ya CCM namuona MAGUFULI tu, but Kamati kuu ya MAGAMBA wanamwogopa sana kwamba akishika nchi atawabuluza mafisadi. tuombee wansimamishe uchaguzi ujao.ki ukweli,me ni CHADEMA damu,bt nina akili timamu! Sitachagua chama hata siku moja,nitachagua mtu,hiyo ndo falsafa yangu!
In Magufuli,I trust! Na ndiye pekee ninayeweza kumpigia kura pale MAGAMBA kwa sasa,hzo ishu za NHC hata sijali,najali utendaj kazi wake,naamin pa1 na kwamba Jk ni fisadi,angeplay role yake kama rais ipasavyo,asingelaumiwa kias hiki!
mimi binafsi ningependa tuwe na rais wa jamii ya MAGUFULI, je kwa chama chetu CHADEMA, nani anaweza kuhimili vishindo vya MAGUFULI kama akisimamishwa na MAGAMBA ?, hatajwitajwi lakini MAGAMBA yakizidiwa yanaweza kusema ngoja tunusuru chama, tusimamishe MAGUFULI, kazi itakuwepo hapo kupambana na huyu mtu. WANANCHI wengi wana imani naye sana. Ndani ya MAGAMBA hakubaliki ila ndani ya WANANCHI anakubalika. nakaribisha MJADALA.
ki ukweli,me ni CHADEMA damu,bt nina akili timamu! Sitachagua chama hata siku moja,nitachagua mtu,hiyo ndo falsafa yangu!