Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Nilikuwa najaribu kuwaza tu. katibu wetu Mkuu Abdulrahman Kinana ametangaza kustaafu na bila shaka nafasi hiyo inahitaji kujazwa na mtu makini zaidi. Nimetafakari sana hasa kutokana na kasi ya Mwenyekiti wetu mtarajiwa hakika nafasi ya Katibu Mkuu inahitaji mtu makini ambaye atamsaidia vizuri Mwenyekiti wake. Kwa CCM, Katibu Mkuu wa Chama ndiye mtendaji mkuu kwa vile Mwenyekiti anakuwa na majukumu mengi kutokana na nafasi yake ya Urais. Mkiwa na Katibu Mkuu legelege kama ilivyo kwa CHADEMA sasa hakika kila mtu atakuwa kambale.
Ndio maana nafikiria nafasi hiyo apewe Philip Mangula ili afanya kazi za chama kwa asilimia 100 tofauti na sasa ambapo nafasi aliyonayo si ya kiutendaji. Najua kuna watu watakuja na hoja kwamba kwa Mangula kuwa Katibu Mkuu ni kumshusha cheo. Huo ni mtazamo wao ila sasa tunachojali ni ufanisi.