Bahati mbaya sana; kura yako ni moja kati ya mamilioni ya kura.Tuache unafki huyu mama Ana kura yangu 2025 no matter what , hayo mengine ongeeni tu ila kura yangu ni yake .
Unnecessary arguments. I'm out.Vyama vingine haviwajibiki kwa hilo!
Ndivyo unavyotaka tuamini?!
Better be.Unnecessary arguments. I'm out.
Usemi wa "VYUMA VIMEKAZA" ulizinduliwa kipindi Cha jiweAcha kelele tunaomkubali tupo wengi tu yaan subiri huo uchaguzi ufike Sasa hivi pambana na Hali yako,
Kwan wakati wa jiwe vyuma havikukaza?
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko ulevi wa pombeHizi kauli kuna siku zitawatokea puani.
Viko wapi?Nchi imetulia vp wakati ndio kwanza vinarudi vikundi vya uharifu kama panya road.
Kama mambo makubwa kama haya 👇Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais Samia ameituliza nchi, tumekuwa tukiishi kwa amani tofauti na yule SHETANI ambaye yeye mwenyewe alikuwa na vikosi vya kuteka, kutesa na kuua vikiendeshwa na akina Makonda na Sabaya.
Baadhi ya mambo mema aliyotutendea Samia ni kama:
- Watoto waliopata mimba wanarudi shule kusoma
-Madarasa zaidi ya 10,000 na vituo vya Afya vimejengwa nchi nzima
-Watumishi wa Serikali wameongezewa mishahara na posho
-Magazeti yaliyofungiwa yameachiwa kama Tanzania Daima
-Kikosi cha kunyang'anya fedha za wafanyabiashara cha TRA kimevunjwa
- Waliobambikizwa makesi ya uwongo wameachiwa
- Diplomasia ya kimataifa imefunguliwa na wawekezaji wanakuja nchini
Binafsi hata kama hamumpendi Samia lakini anafanya mambo yanayojenga uchumi wa nchi. Uwepo wake ni mpango wa Mungu
Sawa kwakuwa hujaelewa.Lakini kama ungekuwa umepata mantiki nadhani ilifaa tu unijibu.Nenda shule kajifunze kuandika ndio urudi hapa kutoa yaliyo moyoni kwako.
Vipo Tanzania, we si upo nje ya nchi unafikiria utaviona?Viko wapi?
Nchi imepoteza mwelekeo hakuna anaejua destination ya kesho ikoje.Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.
Unaandika uharo wa mumeo una generalise mawazo ya watanzania wote.
We huoni nchi ilivyotulia.
Wasukuma mmeanza kuvuta bangi na bado
Endelea kuamini hivyo Mkuu.Hizi kauli kuna siku zitawatokea puani.
Labda wewe na genge la watu wachache ndo hamna imani naye.Umekosea kumwambia kuwa ni yeye mwenyewe ndiye kiongozi wa mashambulizi kwa mtangulizi. Kwa mfano, alipoenda marekani na juzi Ghana, ametoa kauli zinazoonesha wazi kuwa yeye ni bora kuliko mtangulizi wake. Pia, kwa kauli zake anazojinasibu nazo ni kuwa sisi watanzania pamoja na chama chake bado hatuna imani naye kwa sababu ya jinsia yake.
ShinyangaKwenu ! Duh !!!Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.
Unaandika uharo wa mumeo una generalise mawazo ya watanzania wote.
We huoni nchi ilivyotulia.
Wasukuma mmeanza kuvuta bangi na bado
Magufuli mpango wa MunguMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Rais Samia ameituliza nchi, tumekuwa tukiishi kwa amani tofauti na yule SHETANI ambaye yeye mwenyewe alikuwa na vikosi vya kuteka, kutesa na kuua vikiendeshwa na akina Makonda na Sabaya.
Baadhi ya mambo mema aliyotutendea Samia ni kama:
- Watoto waliopata mimba wanarudi shule kusoma
-Madarasa zaidi ya 10,000 na vituo vya Afya vimejengwa nchi nzima
-Watumishi wa Serikali wameongezewa mishahara na posho
-Magazeti yaliyofungiwa yameachiwa kama Tanzania Daima
-Kikosi cha kunyang'anya fedha za wafanyabiashara cha TRA kimevunjwa
- Waliobambikizwa makesi ya uwongo wameachiwa
- Diplomasia ya kimataifa imefunguliwa na wawekezaji wanakuja nchini
Binafsi hata kama hamumpendi Samia lakini anafanya mambo yanayojenga uchumi wa nchi. Uwepo wake ni mpango wa Mungu
Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.
1. Wasaidizi wako wanakuhadaa
Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa sehemu kubwa ya nchi. Ukweli ni kwamba kiwango chako cha kukubalika kwa wapigakura kinashuka kwa kasi kubwa kila uchao.
Wasaidizi wako wanafifisha juhudi zako kuwaletea unafuu wananchi wako kwa makusudi. Makusudi hiyo inafanyika kupitia shauri mbalimbali ambazo zinagusa maeneo unayoyapa kipaumbele.
Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Katika uliowateua wapo moles. Hawatobadilika
2. Rais Mwanamke
Hii agenda haijafa na inaendelea kuasisiwa na wahafidhina ndani ya CCM upande wa Bara. WanaCCM wengi wanaona ni mapema sana kuongozwa na Rais Mwanamke hivyo wanafanya kila liwezekanalo uweze kukwama kisha ukae pembeni 2025.
Jaribio la kupigiwa kura ya kutoluwa na imani Bungeni umelikwepa kwa ufundi baada ya yule mzee kujiuzulu.
Usidharau maneno ya chinichini huwa ni ujumbe mkali sana.
3. Hali ya maisha kupaa
Ugumu wa maisha umepandisha sintofahamu kubwa dhidi yako. Sote tunafahamu vita inayoendelea Ukraine imechangia mkwamo wq uchumi, lakini wananchi wako wanafanya comparison ya nchi zinazotuzunguka ambazo nyingine zinahudumiwa na Bandari yetu wanang'amua tunapigwa mchana kweupe.
Waziri wako wa fedha usimchukulie poa, naye ni presidential aspirant.
4. Umeme
Siyo siri mradi wa Nyerere Hydropower Dam unasuasua na inawezekana ukageuka historia.
Uganda soon wataingiza umeme Mwanza na utauzwa bei nafuu. You know what? Anayemlipa zumari ndiye huchagua wimbo.
5. Pambano lisiloisha
Mheshimiwa, kadiri unavyoendelea kumsema vibaya mtangulizi wako kwenye medani za kimataifa ndivyo unavyopunguza reputation yako nyumbani.
Katiba hotuba yako kwa Taifa wakati wa msiba. Ulimtaja kama MWANAMWEMA WA AFRICA.... lakini kinachoendelea sasa ni enthusiants wako wanamtukana waziwazi na serikali yako kupitia nyanja mbalimbali inapambana kuprove kuwa mtangulizi alikuwa mtu mbaya sana.
5. Haujachelewa kuunda serikali. Apisha waziri wako mkuu kisha teua Baraza jipya la Mawaziri.
Wananchi wanasikia, wanaona na siku wakiamua hakuna wa kuwazuia.