Bado unamtetea Magufuli?!Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.
1. Wasaidizi wako wanakuhadaa
Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa sehemu kubwa ya nchi. Ukweli ni kwamba kiwango chako cha kukubalika kwa wapigakura kinashuka kwa kasi kubwa kila uchao.
Wasaidizi wako wanafifisha juhudi zako kuwaletea unafuu wamanchi wako kwa makusudi. Makusudi hiyo inafanyika kupitia shauri mbalimbali ambazo zinagusa maeneo unayoyapa kipaumbele.
Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Katika uliowateua wapo moles. Hawatobadilika
2. Rais Mwanamke
Hii agenda haijafa na inaendelea kuasisiwa na wahafidhina ndani ya CCM upande wa Bara. WanaCCM wengi wanaona ni mapema sana kuongozwa na Rais Mwanamke hivyo wanafanya kila liwezekanalo uweze kukwama kisha ukae pembeni 2025.
Jaribio la kupigiwa kura ya kutoluwa na imani Bungeni umelikwepa kwa ufundi baada ya yule mzee kujiuzulu.
Usidharau maneno ya chinichini huwa ni ujumbe mkali sana.
3. Hali ya maisha kupaa
Ugumu wa maisha umepandisha sintofahamu kubwa dhidi yako. Sote tunafahamu vita inayoendelea Ukraine imechangia mkwamo wq uchumi, lakini wananchi wako wanafanya comparison ya nchi zinazotuzunguka ambazo nyingine zinahudumiwa na Bandari yetu wanang'amua tunapigwa mchana kweupe.
Waziri wako wa fedha usimchukulie poa, naye ni presidential aspirant.
4. Umeme
Siyo siri mradi wa Nyerere Hydropower Dam unasuasua na inawezekana ukageuka historia.
Uganda soon wataingiza umeme Mwanza na utauzwa bei nafuu. You know what? Anayemlipa zumari ndiye huchagua wimbo.
5. Pambano lisiloisha
Mheshimiwa, kadiri unavyoendelea kumsema vibaya mtangulizi wako kwenye medani za kimataifa ndivyo unavyopunguza reputation yako nyumbani.
Katiba hotuba yako kwa Taifa wakati wa msiba. Ulimtaja kama MWANAMWEMA WA AFRICA.... lakini kinachoendelea sasa ni enthusiants wako wanamtukana waziwazi na serikali yako kupitia nyanja mbalimbali inapambana kuprove kuwa mtangulizi alikuwa mtu mbaya sana.
5. Haujachelewa kuunda serikali. Apisha waziri wako mkuu kisha teua Baraza jipya la Mawaziri.
Wananchi wanasikia, wanaona na siku wakiamua hakuna wa kuwazuia.
Kwa hyo mfu alivyokuwa anawasema watangulizi wake reputation ilipanda ee.Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.

Binafsi kama mtumishi wa umma,huyu mama amekua mkombozi kwetu,mikataba ya utumishi sasa inafuatwa.Ule uonevu kazini,vitisho vya kutishiwa na madiwani wa CCM sasa havipo.Nikiwa kama msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Kituo 2025,Nitalinda Kura za mama Kwa namna yoyote Ile.Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.
1. Wasaidizi wako wanakuhadaa
Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa sehemu kubwa ya nchi. Ukweli ni kwamba kiwango chako cha kukubalika kwa wapigakura kinashuka kwa kasi kubwa kila uchao.
Wasaidizi wako wanafifisha juhudi zako kuwaletea unafuu wamanchi wako kwa makusudi. Makusudi hiyo inafanyika kupitia shauri mbalimbali ambazo zinagusa maeneo unayoyapa kipaumbele.
Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Katika uliowateua wapo moles. Hawatobadilika
2. Rais Mwanamke
Hii agenda haijafa na inaendelea kuasisiwa na wahafidhina ndani ya CCM upande wa Bara. WanaCCM wengi wanaona ni mapema sana kuongozwa na Rais Mwanamke hivyo wanafanya kila liwezekanalo uweze kukwama kisha ukae pembeni 2025.
Jaribio la kupigiwa kura ya kutoluwa na imani Bungeni umelikwepa kwa ufundi baada ya yule mzee kujiuzulu.
Usidharau maneno ya chinichini huwa ni ujumbe mkali sana.
3. Hali ya maisha kupaa
Ugumu wa maisha umepandisha sintofahamu kubwa dhidi yako. Sote tunafahamu vita inayoendelea Ukraine imechangia mkwamo wq uchumi, lakini wananchi wako wanafanya comparison ya nchi zinazotuzunguka ambazo nyingine zinahudumiwa na Bandari yetu wanang'amua tunapigwa mchana kweupe.
Waziri wako wa fedha usimchukulie poa, naye ni presidential aspirant.
4. Umeme
Siyo siri mradi wa Nyerere Hydropower Dam unasuasua na inawezekana ukageuka historia.
Uganda soon wataingiza umeme Mwanza na utauzwa bei nafuu. You know what? Anayemlipa zumari ndiye huchagua wimbo.
5. Pambano lisiloisha
Mheshimiwa, kadiri unavyoendelea kumsema vibaya mtangulizi wako kwenye medani za kimataifa ndivyo unavyopunguza reputation yako nyumbani.
Katiba hotuba yako kwa Taifa wakati wa msiba. Ulimtaja kama MWANAMWEMA WA AFRICA.... lakini kinachoendelea sasa ni enthusiants wako wanamtukana waziwazi na serikali yako kupitia nyanja mbalimbali inapambana kuprove kuwa mtangulizi alikuwa mtu mbaya sana.
5. Haujachelewa kuunda serikali. Apisha waziri wako mkuu kisha teua Baraza jipya la Mawaziri.
Wananchi wanasikia, wanaona na siku wakiamua hakuna wa kuwazuia.
Upo sahihiMkuu
Tambua
Wanaomtetea Mama wanafanya hivyo maksudi KABISA Ili aharibu aje Mwingine!
Kumbuka tozo ZILE zilipitishwa Ili kumkomoa Rais na sio kumjenga hata gharama za umeme ivo Ivo!!!
TUSUBIRI
Unabii wa hatma ya mama ni mwingi mno jamvini!
Jamvi limegeuka chuo cha unabii
Tusubiri utimilifu wakey japo wananchi wataumizwa SANA tu!!!
Wanaomtetea ndiyo watakaomuangushaWakija,watakuambia wewe ni sukuma gang
Ngoja aje mwimba mapambio wa mama bwana The Sunk Cost Fallacy
Hakika linda kura zake atakazopata za usahihiBinafsi kama mtumishi wa umma,huyu mama amekua mkombozi kwetu,mikataba ya utumishi sasa inafuatwa.Ule uonevu kazini,vitisho vya kutishiwa na madiwani wa CCM sasa havipo.Nikiwa kama msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Kituo 2025,Nitalinda Kura za mama Kwa namna yoyote Ile.
Umenena vyema ila kuna watu chawa hawamwambii mama ukweli.Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.
1. Wasaidizi wako wanakuhadaa
Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa sehemu kubwa ya nchi. Ukweli ni kwamba kiwango chako cha kukubalika kwa wapigakura kinashuka kwa kasi kubwa kila uchao.
Wasaidizi wako wanafifisha juhudi zako kuwaletea unafuu wamanchi wako kwa makusudi. Makusudi hiyo inafanyika kupitia shauri mbalimbali ambazo zinagusa maeneo unayoyapa kipaumbele.
Kama kura zitapigwa leo kwa haki hautavuka hata asilimia 40.
Katika uliowateua wapo moles. Hawatobadilika
2. Rais Mwanamke
Hii agenda haijafa na inaendelea kuasisiwa na wahafidhina ndani ya CCM upande wa Bara. WanaCCM wengi wanaona ni mapema sana kuongozwa na Rais Mwanamke hivyo wanafanya kila liwezekanalo uweze kukwama kisha ukae pembeni 2025.
Jaribio la kupigiwa kura ya kutoluwa na imani Bungeni umelikwepa kwa ufundi baada ya yule mzee kujiuzulu.
Usidharau maneno ya chinichini huwa ni ujumbe mkali sana.
3. Hali ya maisha kupaa
Ugumu wa maisha umepandisha sintofahamu kubwa dhidi yako. Sote tunafahamu vita inayoendelea Ukraine imechangia mkwamo wq uchumi, lakini wananchi wako wanafanya comparison ya nchi zinazotuzunguka ambazo nyingine zinahudumiwa na Bandari yetu wanang'amua tunapigwa mchana kweupe.
Waziri wako wa fedha usimchukulie poa, naye ni presidential aspirant.
4. Umeme
Siyo siri mradi wa Nyerere Hydropower Dam unasuasua na inawezekana ukageuka historia.
Uganda soon wataingiza umeme Mwanza na utauzwa bei nafuu. You know what? Anayemlipa zumari ndiye huchagua wimbo.
5. Pambano lisiloisha
Mheshimiwa, kadiri unavyoendelea kumsema vibaya mtangulizi wako kwenye medani za kimataifa ndivyo unavyopunguza reputation yako nyumbani.
Katiba hotuba yako kwa Taifa wakati wa msiba. Ulimtaja kama MWANAMWEMA WA AFRICA.... lakini kinachoendelea sasa ni enthusiants wako wanamtukana waziwazi na serikali yako kupitia nyanja mbalimbali inapambana kuprove kuwa mtangulizi alikuwa mtu mbaya sana.
5. Haujachelewa kuunda serikali. Apisha waziri wako mkuu kisha teua Baraza jipya la Mawaziri.
Wananchi wanasikia, wanaona na siku wakiamua hakuna wa kuwazuia.
Ugumu wa maisha jamani ni kila nchi kwa sababu ya Vita ya ukrain na urusi rais Samia Hana Cha kufanya. Juzi Uganda umeona wananchi wanavyolia lakini museven Hana Cha kufanya. Omba Vita iishe. Wenye akili wanaelewa heli Ila wewe popoma na mapopoma wenzako mnaleta taharuki tuMheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma.