Sioni tatizo lolote kwa Rais kujibur4udisha kwa shughului kama hizi. Actually viongozi wetu wanapaswa kujizoeza kwa shughuli kama hizi ili kupunguza msongo wa mawazo na shughuli nzito za kila siku. Hili ni muhimu kwa afya zao kimwili na kiakili.Tumpongeze na kumshawishi kwa hili.