Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dk. Shein afanya ziara mkoa wa Mjini Magharibi

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
203
83
DSC_7806.jpg

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud Akimpokea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
DSC_7916.jpg


Mkuu wa Mkoa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud Akikabidhi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) taarifa ya Utekelezaji katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara yake katika Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_7839.jpg

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwemo Wabunge na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo







DSC_7856.jpg

Baadhi ya watendaji mbali mbali wakiwemo Wazee na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
DSC_7958.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali baada ya kupoea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati alipoanza ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Akitoa Maelezo wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Uwanja wa Mau uliopo Wilaya ya Mjini wanaomsikiliza ni Mkuu wa Mkoa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud Pamoja na Viongozi wengine.
DSC_9407.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali na Wananchi wa Chama cha Mapinduzi wakati wa ufunguzi wa Tawi la CCM Muembe Matarumbeta leo akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Mjini

 
Back
Top Bottom