Anapigiwa mizinga 21Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi.
Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19...
Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi.
Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19...
Wanakosa sovereignty,,hawana uwezo wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Mpaka wapate baraka toka Bara.Sovereign State.
~Katiba.
~Wimbo wa Taifa.
~Bunge.
~Sarafu.
~Majeshi.
Ficha ujinga wako.Zanzibar siyo nchi (by Mizengo Pinda, the former pm).
Hivyo Zanzibar ni sawa na Katavi tu. Na rais wake hana tofauti na RC wa Katavi. RC anapigiwa mizinga?
Kuhusu neno rais lisikutishe. Tuna rais wa bao, TFF, ngumi, wasafi, etc hawa wanapigiwa mizinga mingapi
Zanzibar wanajiamulia mambo Yao yote ambayo sio unioni matters.... Na ndio hayo ambayo raisi wa Zanzibar anayalinda yalio kwene Katiba ya Zanzibar bila kuhitaji ruhusa kutoka kwa kiongozi yyte yule.Wanakosa sovereignty,,hawana uwezo wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Mpaka wapate baraka toka Bara.
Shida ni hizo union matters,,,mwanzoni yalikuwa machache sn,Leo hii union matters yameongezwa sn na hapo ndipo mzizi wa fitina ulipo. Zanzibar haina sovereignty,,haiwezi kuteua hata mabalozi,haina uwakilishi UN. Kuwa na katiba hata club za golf zina katiba. Zanzibar haina hata vikosi vya Jeshi LA ulinzi Wa wananchi. Rais wa Zanzibar ni sawa na jibwa lisilo na meno,aweza kubweka tu,siyo kung'ata!Zanzibar wanajiamulia mambo Yao yote ambayo sio unioni matters.... Na ndio hayo ambayo raisi wa Zanzibar anayalinda yalio kwene Katiba ya Zanzibar bila kuhitaji ruhusa kutoka kwa kiongozi yyte yule... Raisi wa jamhuri ya muungano yeye ni anasimamia Yale mambo ambayo ni unioni matters tu kama ilivo ainishwa kwene Katiba ya jamhuri ya muungano..... Ndo Maan Zanzibar inakatiba yake na Ina serikali yake inayoitwa serikali ya mapinduzi Zanzibar na boss(top) ni raisi wa zanzibar
Rais ni mizinga 21 sasa usichoelewa nini mkuu?Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi.
Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19...
Zanzibar ni moja ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984). Katiba ya Jamhuri inaitambua Zanzibar na mamlaka yakeZanzibar siyo nchi (by Mizengo Pinda, the former pm).
Hivyo Zanzibar ni sawa na Katavi tu. Na rais wake hana tofauti na RC wa Katavi. RC anapigiwa mizinga?
Kuhusu neno rais lisikutishe. Tuna rais wa bao, TFF, ngumi, wasafi, etc hawa wanapigiwa mizinga mingapi
Kwa hivyo kwa kuwa haliwezi kung'ata nenda kalichezee. Unaota mchana?Shida ni hizo union matters,,,mwanzoni yalikuwa machache sn,Leo hii union matters yameongezwa sn na hapo ndipo mzizi wa fitina ulipo. Zanzibar haina sovereignty,,haiwezi kuteua hata mabalozi,haina uwakilishi UN. Kuwa na katiba hata club za golf zina katiba. Zanzibar haina hata vikosi vya Jeshi LA ulinzi Wa wananchi. Rais wa Zanzibar ni sawa na jibwa lisilo na meno,aweza kubweka tu,siyo kung'ata!
Hivi nimwamini nani kati ya Mizengo Pinda (pm) na wewe mlalahoi usiye na mamlaka yoyote, usiyejulikana popote na humu umetumia ID fake??Zanzibar ni moja ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984). Katiba ya Jamhuri inaitambua Zanzibar na mamlaka yake
Hahahaha; kutumia ID fake na sexless person ipi taabu zaidi? Au ndio kutokujitambua? By the way who's Pinda inapokuja maswala ya katiba na mikataba ya kimataifa? Unapaswa kutambua mamlaka ya kila taasisi na siyo kupayuka tu.Hivi nimwamini nani kati ya Mizengo Pinda (pm) na wewe mlalahoi usiye na mamlaka yoyote, usiyejulikana popote na humu umetumia ID fake??
Pinda ashasema Zanzibar siyo nchi.