Rais wa Zanzibar ana hadhi kubwa kuliko Rais wa Muungano?

Kwa nini tusiwe na serikali moja yenye Rais mmoja tu.Kama Zanzibar ni nchi basi na Tanganyika nayo ni nchi kwa hiyo tuwe na serikali tatu
 
Hii ni kudhalilisha kiti cha rais wa JMT,tupiganie katiba ili either tuunde majimbo yaendeshwe na magavana,zenj likiwa jimbo mojawapo,au tuwe na serikali moja cio huu upuuzi or tuachane nao ful stop NIA YA NYERERE ILIKUWA KUELEKEA SERIKALI MOJA
 
Kweli Rais hawezi kuzalilishwa ndani ya nchi yake mwenyewe na hatuwezi kuwa na nchi ndani ya nchi.Ni bora Zanzibar iwe jimbo na tuwe na serikali moja kama alivyosema mtemiwao.Katiba mpya ni lazima na lazima iangalie huu muungano
 
Back
Top Bottom