Rais wa wana-JamiiForums

Uhakiki hasa wa picha muhimu
lakini pia tuwe na uvumilivu
sioni why jina la 'mchepuko wa mkulu' kama ni that serious offense...
sanasana labda ni jina la kiutani tu....
Mkuu umejibu vema,....twende jukwaa la wakubwa,...Yaani lile jukwaa limepoa sana, kama ile theory ya disuse ingekuwa kweli basi lile jukwaa lingeshatoweka.

Vipi una mikakati gani ya kuliamsha na lipate mvuto kiasi cha kulifanya kuwa break ya kwanza pindi wadau wanapo log jf?
 
Lile jukwaa linapaswa kwanza kuachiwa ili kila mtu alijue
tatizo kilichopo sasa ni kuwa watu wengi hawalijui
na walio omba kupata aceess hawajajibiwa
first liruhusiwe kwa kila mtu
halafu wasiotaka waseme wapunguzwe...
that way tutakua na active members wengi
 
Kuna malalamiko kuhusu jukwaa la love connect kwamba watu hawalitumii vile inavotakiwa

Ukifanikiwa kushika hatamu ni kwanamna gani utahakikisha jukwaa lile linatumika vile lilivyokusudiwa?

Cc The Boss

Nyani Ngabu

Na wagombea wengine
 
Jukwaa lile linaharibiwa na watu wenye id nyingi
nafikiri mods wangefuatilia kama wakiona mtu anaanzisha id nyingi kwa ajili ya jukwaa lile
waziunge hizo id......hiii itasadia kupunguza hao wanao lalamikiwa
 
naomba tangu jana waunganishe ID zangu lakini sijibiwi
 
Lile jukwaa linapaswa kwanza kuachiwa ili kila mtu alijue
tatizo kilichopo sasa ni kuwa watu wengi hawalijui
na walio omba kupata aceess hawajajibiwa
first liruhusiwe kwa kila mtu
halafu wasiotaka waseme wapunguzwe...
that way tutakua na active members wengi
Sikubaliani na hilo wazo....likiwa wazi itabidi ma mods wachuje contents zake hasa picha ili liwe na hadhi ya kuonekana hadharani, kitu kitakacholifanya kupoteza ile ladha yake asilia,...kumbuka lile ni la kipekee sana.

Pili ukisema liwe wazi na post zake zisichujwe, litawafanya guests pamoja na watoto kutangaza huko mitaani kwamba kuna mtandao unaitwa JF unao onesha 'pilau'.

Ata kama lina member 1000 bado linaweza kuwa lenye nguvu,....kuja na plan nyingine Mkuu.
 
ninazo mbili,nyingine ni jina halisi hatariiiiiiiiiiiiiii
Hahahahaa....yaani wewe ID mbili unashtukiwa, utaweza kuwa na hawara kweli?:D:D:D:D:D:D BTW naona kuwa na ID moja ndio ishu maana uta concentrate kikamilifu.....cha muhimu iwe Fake haswa ili kujiwekea usiri wa kutosha.
 
tatizo zinanichanganya nitumie ipi niache ipi,hii naona kama naisema ndege yetu
 
Back
Top Bottom