Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,604
- 20,507
Sema adui wa Uturuki wakiwatumia Wakurdi Uturuki hatatoboa. Kawatesa sana Wakurdi. Na kwenye ile nchi Waturuki ni wakuja tu.
Correction!Miafrika inaumia zaidi ikisikia miyahudi au miarabu imekufa kuliko wacongo au waafrika wenzao. Religion did a number on us.