Rais wa Uturuki ampa onyo Mbabe wa Kivita wa Libya

Mkuu kwa libya wapo pamoja maana wanafaidika na wizi wa mafuta na gesi.
japo russia anakataa kuwa yupo huko kama srekali, ila kuna wanjeshi wa kokodishwa wengi kutoka russia wanapigana upande wa general.
Bora umemtolea maelezo ya kueleweka,abaki na ubishi wake tuu. Na juzi tuu hapa Netanyahu na Ugiriki wameonya juu ya mpango wa Uturuki kupeleka Jeshi Libya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umemtolea maelezo ya kueleweka,abaki na ubishi wake tuu. Na juzi tuu hapa Netanyahu na Ugiriki wameonya juu ya mpango wa Uturuki kupeleka Jeshi Libya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ugiriki na Israel wanungana sababu ya Syprus na Economic zone walioingia mkataba libya na Uturuki amabyo inakula bahari yote kuanzia uturuki mpaka libyaa, ambayo itaenbda kuwabinya waisrael an ugiriki.

1579182125471.png

1579182151139.png
 
UKiangalia hizo p[icha hapo, Israel kagundua gesi , sasa akitaka kuipeleka nje ulaya huko lazima aongeo vizuri na Libya na Uturuki.
na ndio maana sasa Uguriki na uturuki wameungana huko na hawaitaki serekali iliopo inayotambuliw ana Umoja wa mataifa.
 
Sahihisha maelezo yako,Turkey yupo upande wa Serikali wakati Israel na Greece wapo upande wa General Haftar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Impossible,
Hao watu hawawezi kufanya kazi pamoja hata siku moja.
Mkuu hata Mimi katika kupiatiq habari kuna siku Haftar alidai yupo tayari kufanya kazi na Israel..bila kusahau kuwa Inajulikana waziwazi kuwa anaungwa mkono na Misri,UAE na Russia(kuna Mercenaries wao wanamsapoti Haftar)

Kwahiyo Jaribu kufuatilia inaweza kuwa kweli..isipokuwa tu USA ndio Aina hakika maana amejiweka mbali na mgogoro huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom