yawezekana isifike maana mafisadi walikuwa wamefikia asilimia 40% ya wananchi, Siyo?Hizo takwimu zako za 98% umetoa wapi?
Yaan familia yako tu ndo imefikisha hizo asilimia98??Wakati imebaki siku moja watu walio daganywa wakadaganyika kuingia kuandamana ni bora wakatafakari haya nakumuomba radhi Rais wetu kwakuwa mwana democrasia.
Uko ufilipino wananchi yapata mwaka sasa walimchaguwa kidemocrasi rais mwenye maamuzi magumu ktk maswala ya kitaifa. Rais huyo tangu ameongia madarakani amesha nyonga zaid ya watu miasaba hamsini wauza unga. Tz hajanyonga hatA mmoja.
Rais huyo alienda mbali kutoa kibali raia kuwauwa wauza unga jambo limeongeza idadi kufika elfu. Hapa tz rais amesema wakitumia silaha ndio walazwe.
UN wameikemia uphilipino rais akawajibu kama kuwa UN nikuruhusu democ yakuwaruhusu wauza unga atajitoa uko un. Tz rais wetu hana red flag ya kutoka Un.
Rais huyo anaye nyonga wahalifu bila huruma wananchiwana muunga mkono 95%. Tz watanzania wanamuunga mkono kwa 98% tangu kuingia madarakani....
Ninyi mnaposemaga Lowassa alishinda urais, takwimu mnatoaga wapi?Hizo takwimu zako za 98% umetoa wapi?
Wengi wanarudi kwenye mstari.yawezekana isifike maana mafisadi walikuwa wamefikia asilimia 40% ya wananchi, Siyo?
Leta comment niliyoandika lowassa kashinda, nimeuliza mimi usichanganye wengineNinyi mnaposemaga Lowassa alishinda urais, takwimu mnatoaga wapi?
Kichwani kwake. Ikifanywa takwimu ya kweli bila kuchakachuliwa jamaa hana support ya hata asilimia 30 ya wananchi kwa sasa. Leo tukipiga kura tena hawezi kupata hata asilimia 10.Hizo takwimu zako za 98% umetoa wapi?
Huku hutaki ushahidi ila huku unataka. Very evasive.Leta comment niliyoandika lowassa kashinda, nimeuliza mimi usichanganye wengine
Kunyonga waharifu sio udictator. Kama ni sheria ya nchi kuwa wauza unga wanyongwe its oky.Wakati imebaki siku moja watu walio daganywa wakadaganyika kuingia kuandamana ni bora wakatafakari haya nakumuomba radhi Rais wetu kwakuwa mwana democrasia.
Uko ufilipino wananchi yapata mwaka sasa walimchaguwa kidemocrasi rais mwenye maamuzi magumu ktk maswala ya kitaifa. Rais huyo tangu ameongia madarakani amesha nyonga zaid ya watu miasaba hamsini wauza unga. Tz hajanyonga hatA mmoja.
Rais huyo alienda mbali kutoa kibali raia kuwauwa wauza unga jambo limeongeza idadi kufika elfu. Hapa tz rais amesema wakitumia silaha ndio walazwe.
UN wameikemia uphilipino rais akawajibu kama kuwa UN nikuruhusu democ yakuwaruhusu wauza unga atajitoa uko un. Tz rais wetu hana red flag ya kutoka Un.
Rais huyo anaye nyonga wahalifu bila huruma wananchiwana muunga mkono 95%. Tz watanzania wanamuunga mkono kwa 98% tangu kuingia madarakani....
Rodrigo Durtete ni shidaaaaWakati imebaki siku moja watu walio daganywa wakadaganyika kuingia kuandamana ni bora wakatafakari haya nakumuomba radhi Rais wetu kwakuwa mwana democrasia.
Uko ufilipino wananchi yapata mwaka sasa walimchaguwa kidemocrasi rais mwenye maamuzi magumu ktk maswala ya kitaifa. Rais huyo tangu ameongia madarakani amesha nyonga zaid ya watu miasaba hamsini wauza unga. Tz hajanyonga hatA mmoja.
Rais huyo alienda mbali kutoa kibali raia kuwauwa wauza unga jambo limeongeza idadi kufika elfu. Hapa tz rais amesema wakitumia silaha ndio walazwe.
UN wameikemia uphilipino rais akawajibu kama kuwa UN nikuruhusu democ yakuwaruhusu wauza unga atajitoa uko un. Tz rais wetu hana red flag ya kutoka Un.
Rais huyo anaye nyonga wahalifu bila huruma wananchiwana muunga mkono 95%. Tz watanzania wanamuunga mkono kwa 98% tangu kuingia madarakani....
mpaka wanafika hapo walipo unajua walianzia wapi? au hujui historia ya nchi hizo kiongozi??Mfano wa kumfaanisha Mkosaji na mkosaji hauko sawa. Mfananishe na Viongozi wa nchi zenye demokrasia na maendeleo ya kiuchumi kama USA, UK, SA, n.k.
Si mmesema tunataka Tz ya Viwanda. Basi mfananishe na hao.