Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 2,704
- 3,036
Kanisa ni holy institution. Iko juu ya ubinadamu wetu na dhambi zake. Utahangaika sana kushinda kanisa na nakuhakikishia you will die as a loser.Why do you conclude complex issues that easily?
Mnajifariji nafsi tu lakini hakuna la maana litakalobadili ukweli wa mambo.
Nionyeshe dini isiyo ba mashoga ili tuanzie hapo kulinyooshea kanisa vidole
Du, utawapotosha watoto wadogo wasiojielewa wakidhani hiyo ndiyo njia ya mafanikioMi nafikiri Kuna freequence flani za mafanikio njia kuu yake inapitia kwenye "Jicho" maana chunguza watu wote au nchi yoyote, wanaopenda michezo hi huwa na mafanikio makubwa Sana kwa kila nyanja,so sishangai wakatoliki kuendelea kuishika dunia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Udini utakuua ajuza wewe.Huyo nilishaleta uzi wake, katika Marais nnaowafatilia huyo mmojawapo.
Kawapaka mavi ya uso kanisa katoliki. Bisha!
Hahahaha uyo binti nami ningeshangaa sana kumkosa maana mambo ya imani anaya shabikia sana.Ningeshangaaa ukosekane Kwenye Uzi kama huu
Sema ushoga na binadamu wa sasa ni Pete na kidole,Hah
Hahahaaa ngoja wafia dini Faiza Foxy na Mwanakijiji waje na mapovu ya omo
Pole mkuu kama mkatoliki lazima ikuume, mimi pia ni mkatoliki lkn hawa baba zetu wanashida nawe unajua hapa jukwaani utatoka povu lkn ndani ya moyo wako kuna kaukweli fulani kachungu unakajuaSema ushoga na binadamu wa sasa ni Pete na kidole,
Tena siyo binadamu wa sasa tu,ni tangu zama na zama,
Huyo rais hiyo asilimia 90 kaipataje,
Vita ya kisiasa ya yy na kanisa imepelekea yy kutoa kashfa,
Hiyo ni kashfa km kashfa zingine
Lkn nnaloamini Mimi jamaa anachokitafuta atakipata tena soon na dunia itashuhudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh huyu jamaa ni noma Sana ila ukwel hua ni mchunguRais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.
Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends
Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
Kwa mfumo wa maisha yao wacha wapigwe,maana waliandaliwa hivyo.piga kifiro haooKwa maelezo ya bwana Durterte ni kwamba wanapigwa miti. Anasisitiza kua anawajua wengi tu wanaopigwa miti ila hawaweki wazi kwa kua kanisa linakataza.
Kwa hiyo licha ya kuhubiri injili kinyumenyume pia ni wauaji.Ninasemaga mimi tatizo kuu la dunia ni dini.Kuna taasisi kubwa zinashikilia dunia.
Utatukana tukana weee kisha siku moja unaamka nywele za upande mmoja zimenyonyoka.
Miaka miwili mbele, kuhema hauwezi na wanaokupa tiba ni hizo taasisi.
Kisha unakufa.
Na yaelekea wanakata mauno mkuu, maana ni wanyenyekevu na ukimaliza kumpopoa anakwambia amani ya bwana iwe daima nanyi wakati na wewe ni bwana,ushampa amani.Duh huyu jamaa ni noma Sana ila ukwel hua ni mchungu
Alichosema ni kwel kbxa na ni janga la kidunia kwa sasa
Lkn padri kupigwa dushe ***** iinasktisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kuu la dunia ni dini?K
Kwa hiyo licha ya kuhubiri injili kinyumenyume pia ni wauaji.Ninasemaga mimi tatizo kuu la dunia ni dini.
Hapa hakuna mashindano ni kukemea ushoga tu,na bahati nzuri limesemwa na mtu mwenye sauti nzito.Ukubwa wa kanisa kila mtu anautambua.Kweli gani? Unfortunately sidhani kama umewahi kutuliza akili na kujaribu kujifunza kanisa katoliki like, lina nini na lina nguvu kiasi gani. You will be surprised.
In my humble opinion, usijaribu kabisa kuchezea kanisa. The twist and turns of Catholic church are more than what you think. Wameshindwa waamerika sembuse Philippines?
Ndio hili jambo ukilichunguza na mengineyo utaona matatizo makubwa yaliyopo katika dini.ila zinajitanabaisha kama watetea haki na mema wakati kimsingi zimesababisha matatizo mengi sana.Hili ni moja nani asiyejua ubaya wa kanisa katoliki ndio maana Mchina hataki kusikia juu ya uchafu wa dini.Tatizo kuu la dunia ni dini?
Fuatilia historia kabla ya dini watu waliishije.