Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

Why do you conclude complex issues that easily?
Mnajifariji nafsi tu lakini hakuna la maana litakalobadili ukweli wa mambo.

Nionyeshe dini isiyo ba mashoga ili tuanzie hapo kulinyooshea kanisa vidole
Kanisa ni holy institution. Iko juu ya ubinadamu wetu na dhambi zake. Utahangaika sana kushinda kanisa na nakuhakikishia you will die as a loser.
NINAKIJIBU KILE NINACHOKIONA AU KUKISOMA.JISAHIHISHE KWANZA HAPO JUU ILI TUENDE SAMBAMBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nafikiri Kuna freequence flani za mafanikio njia kuu yake inapitia kwenye "Jicho" maana chunguza watu wote au nchi yoyote, wanaopenda michezo hi huwa na mafanikio makubwa Sana kwa kila nyanja,so sishangai wakatoliki kuendelea kuishika dunia...

Sent using Jamii Forums mobile app
Du, utawapotosha watoto wadogo wasiojielewa wakidhani hiyo ndiyo njia ya mafanikio
 
Ufilipino ni wamejaa mashoga
Ata mitamthilia yao ushogaushoga mwingi

Yaan hivi vijamaa cjui vinataka kugundua nn uko
 
Hah

Hahahaaa ngoja wafia dini Faiza Foxy na Mwanakijiji waje na mapovu ya omo
Sema ushoga na binadamu wa sasa ni Pete na kidole,
Tena siyo binadamu wa sasa tu,ni tangu zama na zama,
Huyo rais hiyo asilimia 90 kaipataje,
Vita ya kisiasa ya yy na kanisa imepelekea yy kutoa kashfa,
Hiyo ni kashfa km kashfa zingine
Lkn nnaloamini Mimi jamaa anachokitafuta atakipata tena soon na dunia itashuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi za asia kuanzia ufilipino, malasiya, singapole, thailand zina mashoga kwa kiasi kikubwa kati ya nchi hizo kama philipino wakiristo ni idadi kubwa nyingine idadi kubwa ni waislamu hivyo tatizo sio dini bali ni wao wenyewe
 
Sema ushoga na binadamu wa sasa ni Pete na kidole,
Tena siyo binadamu wa sasa tu,ni tangu zama na zama,
Huyo rais hiyo asilimia 90 kaipataje,
Vita ya kisiasa ya yy na kanisa imepelekea yy kutoa kashfa,
Hiyo ni kashfa km kashfa zingine
Lkn nnaloamini Mimi jamaa anachokitafuta atakipata tena soon na dunia itashuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu kama mkatoliki lazima ikuume, mimi pia ni mkatoliki lkn hawa baba zetu wanashida nawe unajua hapa jukwaani utatoka povu lkn ndani ya moyo wako kuna kaukweli fulani kachungu unakajua
 
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
Duh huyu jamaa ni noma Sana ila ukwel hua ni mchungu
Alichosema ni kwel kbxa na ni janga la kidunia kwa sasa
Lkn padri kupigwa dushe ***** iinasktisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maelezo ya bwana Durterte ni kwamba wanapigwa miti. Anasisitiza kua anawajua wengi tu wanaopigwa miti ila hawaweki wazi kwa kua kanisa linakataza.
Kwa mfumo wa maisha yao wacha wapigwe,maana waliandaliwa hivyo.piga kifiro haoo
 
K
Kuna taasisi kubwa zinashikilia dunia.

Utatukana tukana weee kisha siku moja unaamka nywele za upande mmoja zimenyonyoka.

Miaka miwili mbele, kuhema hauwezi na wanaokupa tiba ni hizo taasisi.

Kisha unakufa.
Kwa hiyo licha ya kuhubiri injili kinyumenyume pia ni wauaji.Ninasemaga mimi tatizo kuu la dunia ni dini.
 
K

Kwa hiyo licha ya kuhubiri injili kinyumenyume pia ni wauaji.Ninasemaga mimi tatizo kuu la dunia ni dini.
Tatizo kuu la dunia ni dini?

Fuatilia historia kabla ya dini watu waliishije.
 
Kweli gani? Unfortunately sidhani kama umewahi kutuliza akili na kujaribu kujifunza kanisa katoliki like, lina nini na lina nguvu kiasi gani. You will be surprised.
In my humble opinion, usijaribu kabisa kuchezea kanisa. The twist and turns of Catholic church are more than what you think. Wameshindwa waamerika sembuse Philippines?
Hapa hakuna mashindano ni kukemea ushoga tu,na bahati nzuri limesemwa na mtu mwenye sauti nzito.Ukubwa wa kanisa kila mtu anautambua.
 
Tatizo kuu la dunia ni dini?

Fuatilia historia kabla ya dini watu waliishije.
Ndio hili jambo ukilichunguza na mengineyo utaona matatizo makubwa yaliyopo katika dini.ila zinajitanabaisha kama watetea haki na mema wakati kimsingi zimesababisha matatizo mengi sana.Hili ni moja nani asiyejua ubaya wa kanisa katoliki ndio maana Mchina hataki kusikia juu ya uchafu wa dini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom