Rais wa Ufilipino Durterte amelitaka Kanisa Katoliki kuruhusu Mapadri wake waolewe au wawe na Wanaume maana wengi ni mashoga

H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
388
Likes
1,315
Points
180
Age
29
H

Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
388 1,315 180
Rais wa Ufilipino amelitaka kanisa katoliki nchini Italy kuruhusu mapadri wake kote ulimwenguni waruhhsiwe kutafta wanaume wa kuwaoa maana wengi ni mashoga hvyo wanapswa kua na wanaume.

Soma mwenyewe hapa toka RT News.
‘Most of them are gay’: Duterte urges Vatican to allow its ‘useless’ priests to have boyfriends

Mwezi uliopita Durteete alisema 90% ya mapadri wote Duniani ni mashoga akamtaka papa aruhusu mapadri wawe huru kua na wanaume wao maana kujificha au kuficha tatizo ndio kunachangia zaidi ushoga kwa mapadri.
Duterte: Almost 90% of Catholic priests are homosexuals
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
23,034
Likes
6,189
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
23,034 6,189 280
Hii ni tabia ya mtu binafsi, huyo rais kakurupuka
 
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
2,836
Likes
3,540
Points
280
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
2,836 3,540 280
Wewe ulitaka suluhisho liwe lipi? Soma na hizi kesi za kulawiti na kulawitiw
Hivi Waislamu wanaweza kuwanyooshea Wakatoliki kwa jambo lolote? Hata katika mazuri,ni lipi jambo ambalo Kanisa Katoliki linaweza kuazima kutoka Uislamu?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Umeisoma juu hapo ya Australia? Jinsi mapadri wa kanisa katoliki wanavyolawiti na kulawitiwa na watoto wadogo? Pata na hii ya Austria...

AustriaEdit
In November 2010, an independent group in Austria[66] that operates a hotline to help people exit the Catholic Church released a report documenting physical, sexual, and emotional abuse perpetrated by Austrian priests, nuns, and other religious officials. The report is based on hotline calls from 91 women (28%) and 234 men (72%), who named 422 perpetrators of both sexes, 63% of whom were ordained priests.[67]

Vyanzo: Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia
Pathetic. A good scholar never becomes biased based on the information obtained on the net
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Kuna watu hawatulii ili wajifunze na kuelewa. Sababu hiyo hawana lolote la maana wanalolifikia
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
Hivi Waislamu wanaweza kuwanyooshea Wakatoliki kwa jambo lolote? Hata katika mazuri,ni lipi jambo ambalo Kanisa Katoliki linaweza kuazima kutoka Uislamu?
Kila kitu chenu, ni ushetani tu, kuanzia kuabudu masanamu mpaka ku!awitiana na mapadri na maaskofu, kuharibu watoto wadogo ndani ya kanisa katoliki mpaka Umoja wa Mataifa unapiga kelele, unabisha nini wewe?

Unabisha hakuna ushoga ndani ya kanisa katoliki?

Waacheni kuteteana maovu, nafsi zenu haziwasuti?

Inasikitisha sana tena sana. Hiyo ni laana ya Mungu.
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Hivi Waislamu wanaweza kuwanyooshea Wakatoliki kwa jambo lolote? Hata katika mazuri,ni lipi jambo ambalo Kanisa Katoliki linaweza kuazima kutoka Uislamu?
Atakwambia ubadilishe dini? Anasahau hata tunayofanya gizani yanajulikana mwangani
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
Pathetic. A good scholar never becomes biased based on the information obtained on the net
Hizo information a aina source zote za uhakika na links za source zimewekwa.

Mpaka Umoja wa Mataifa umepiga kelele, nayo siyo source ya kuaminika? Sasa Duterte anawaambia kawaoweni wachungaji zenu, mnangoja nini?
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Hizo information a aina source zote za uhakika na links za source zimewekwa.

Mpaka Umoja wa Mataifa umepiga kelele, nayo siyo source ya kuaminika? Sasa Duterte anawaambia kawaoweni wachungaji zenu, mnangoja nini?
You are a jockery
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
Atakwambia ubadilishe dini? Anasahau hata tunayofanya gizani yanajulikana mwangani
Ubadilishe dini ya nini? Wewe kwa huko huko uwe kuni za motoni.

Hivi unajidanganya kuwa Yesu kakubebea dhambi zako? Hata hizi za kulawitiana na wachungaji wenu? Kawaoeni Duterte anawaambia.
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
16,410
Likes
3,203
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
16,410 3,203 280
Huyu jamaa hamnazo, wafilipino wamechagua kichaa kuwa rais.
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Kwahiyo kwa mfano yule aliyemuua Kashog Turkey anawawakilisha waislamu? Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
BelgiumEdit
Main article: Belgian Clerical Sex Abuse Scandal
In June 2010, Belgian police raided the Belgian Catholic Church headquarters in Brussels, seizing a computer and records of a Church commission investigating allegations of child abuse. This was part of an investigation into hundreds of claims that had been raised about alleged child sexual abuse committed by Belgian clergy. The claims emerged after Roger Vangheluwe, who had been the Bishop of Bruges, resigned in 2009 after admitting that he was guilty of sexual molestation.[68] The Vatican protested against the raids.[69] In September 2010, an appeals court ruled that the raids were illegal.[70]
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
Ubadilishe dini ya nini? Wewe kwa huko huko uwe kuni za motoni.

Hivi unajidanganya kuwa Yesu kakubebea dhambi zako? Hata hizi za kulawitiana na wachungaji wenu? Kawaoeni Duterte anawaambia.
You are a loser. Unadanganya watu hapa unafikiri ukatoliki utafia mtandaoni
 
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,548
Likes
1,120
Points
280
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,548 1,120 280
Ambao ni mashoga ni makosa yao binafsi si msimamo wa Kanisa Katoliki. Hata walioko kwenye ndoa wanabaka, ni mashoga, wanalawiti, Wana vimada, wanachepuka ila hayo pia ni makosa yao binafsi si msimamo wa ndoa.
Kumbe huwa mnaakili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
707
Likes
632
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
707 632 180
BelgiumEdit
Main article: Belgian Clerical Sex Abuse Scandal
In June 2010, Belgian police raided the Belgian Catholic Church headquarters in Brussels, seizing a computer and records of a Church commission investigating allegations of child abuse. This was part of an investigation into hundreds of claims that had been raised about alleged child sexual abuse committed by Belgian clergy. The claims emerged after Roger Vangheluwe, who had been the Bishop of Bruges, resigned in 2009 after admitting that he was guilty of sexual molestation.[68] The Vatican protested against the raids.[69] In September 2010, an appeals court ruled that the raids were illegal.[70]
These scandals are everywhere. Hata Tanzania kuna issue iliwahi kutokea. Criminals will be dealt by the laws of the land. Tusihamishe magnolia.
Mapadri wanaandaliwa muda mrefu sana. Wakiamua kusaliti wanachokijua whose problem is that?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
Kwahiyo kwa mfano yule aliyemuua Kashog Turkey anawawakilisha waislamu? Hakuna kitu kibaya kama kuidanganya nafsi
Wacha kuhamisha magoli, wauwaji hapa hawajasemwa. Uislam unapinga mauwaji na pia ushoga.

Nyie Duterte anawaambia mkawaoe mapadri mnazubaa. Si hao mashoga ndiyo watawafutia dhambi vizuri.

Ushoga ni tatizo kubwa sana ndani ya kanisa katoliki. Hata papa alipoulizwa kuhusu ushoga wa mapadri na maaskofu akasema wazi "kwani mimi nani?" Umesahau?
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
These scandals are everywhere. Hata Tanzania kuna issue iliwahi kutokea. Criminals will be dealt by the laws of the land. Tusihamishe magnolia.
Mapadri wanaandaliwa muda mrefu sana. Wakiamua kusaliti wanachokijua whose problem is that?
Wanaandaliwa kulawitiwa? Duh! Hatari hiyo.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,411
Likes
29,396
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,411 29,396 280
These scandals are everywhere. Hata Tanzania kuna issue iliwahi kutokea. Criminals will be dealt by the laws of the land. Tusihamishe magnolia.
Mapadri wanaandaliwa muda mrefu sana. Wakiamua kusaliti wanachokijua whose problem is that?
Are they true or false?

Canada
Main article: Catholic sexual abuse scandal in Canada
In the late 1980s, allegations were made of physical and sexual abuse committed by members of the Christian Brothers, who operated the Mount Cashel Orphanage in St. John's, Newfoundland. The government, police, and church had colluded in an attempt to cover up the allegations, but in December 1989 they were reported in the St. John's Sunday Express. Eventually more than 300 former pupils came forward with allegations of physical and sexual abuse at the orphanage.[71]The religious order that ran the orphanage filed for bankruptcy in the face of numerous civil lawsuits seeking damages.[72]Since the Mount Cashel scandal, a number of priests across Canada have been accused of sexual abuse.

In August 2006, Father Charles Henry Sylvestre of Belle River, Ontario pleaded guilty to 47 counts of sexual abuse of females, aged between nine and fourteen years old, between 1952 and 1989.[73] Sylvestre was given a sentence in October 2006 of three years, and died 22 January 2007 after three months in prison.[74]
 
Forum statistics

Threads 1,250,894
Members 481,523
Posts 29,749,882