CHADEMAASILI
Senior Member
- Jan 19, 2018
- 122
- 92
Last edited by a moderator:
kwanini kusiwe na siri?Hapo hakuna usiri wowote
Kwanini kuwe na usiri?kwanini kusiwe na siri?
Unajua vikao vya siri wewe au unaandika tu hovyo 😳😳😡
Hilo nalo nenoAisee, hatukawii kusikia Serikali imemteka mmoja kati yao na TLS kulaani
Kwani chama cha sheria hakina ruhusa kukutana na wanasiasa? Sheria inagusa pote. Ni kama ungemwona mwanasiasa yuko hospital halafu ushangae.TLS imekosa uhalali kabisa wa kuitwa chama cha wanasheria.
kutuma picha siyo sababu, siri ni kile walichokiongea, wewe inaonekana bado uko kizamaniYaani siri wamepiga picha na wakakutumia..Hivi kwani ukiwa CCM lazima uwe mpumbavu?.
ungesoma usingekuwa na akili fupi namna hiyoTLS imekosa uhalali kabisa wa kuitwa chama cha wanasheria.