`
Habari za asubui wana JF?
Raisi wa TFF alipoingia madarakani alijipambanunua kua yeye ni mtu wa haki, lakini matendo yake yamekua kinyume na kauli yake ya mwanzo. Kwa nini? Yafuatayo ni baadhi ya viashiria vinavyoonyesha tabia ya kuchanganya siasa na maswala ya kimichezo ya Raisi huyu wa TFF na mahaba yake kwa timu yetu:
1. Alipochaguliwa tu alimrudisha msemaji wa timu yetu ambaye alifungiwa kisheria na utawala uliyo mtangulia nakuendelea kumsimamisha mchezaji wa timu watani wetu ambaye pia alifungiwa na utawala huohuo.
2. Matumizi ya fedha katika utawala wake imekua ikitiliwa shaka, ndani ya miezi 6 tu zaidi ya Bilion 1 Tshilling zilikua zimeshatumika, hakuna hata kiongozi mmoja aliye hoji.
3. Ukilinganishwa Kauli ya mkuu wa mkoa mmoja hapa nchini na kauli ya msemaji wa timu yetu na maneno anayotumia rais wa TFF ni sawa na Trump na Netanyau plus Raisi wa Ufaransa. Huwezi kutofautisha. utasikia mimi ni muadilifu, tutapata bingwa halali etc. Hivi ni nani asiyejua kua Simba tulisajili vizuri na ndo mana tumechukua ubingwa? Ni nani asiyejua kua mfadhili wa watani wetu alibanwa mbavu iliwasipate nafasi ya kusajiri vizuri? Fuatilia kesi za mfadhili huyo ilifikia wapi? Nyuma yake kuna watu weeeeengi.
4. Mchakato wa kumtoa wambura madarakani, kila mtu anajua ilikua ni figisu mwanzo mwisho. Na kwa kua nyuma yake yupo Yule jamaa wa kiki ambaye ni mkuu wa mkoa Fulani hivi, haa jamaa anafnya kila anachotaka.
5. Ajira ya baadhi ya wafanyakazi wa TFF hazikufuata taratibu za kuajiri wafanyakazi wa TFF ila jamaa alifanya kwa makusudi na kuwafukuza wafanyakazi wengine
6. Funga Breki ni kauli yake ya jana… Kila mytu anajua
7. Endeleza… yapo mengi tu.
Hayo yote na mengine yanamtambulisha raisi wa TFF kua yeye ni mwanasiasa na yupo pale kwa niaba ya wanasiasa. Remote control ipo sehem Fulani. Ushauri wangu: tukitaka kupiga hatua katika maswala ya kimichezo; taaluma itumike badala ya siasa.