Uchaguzi 2020 Rais wa Tanzania 2020 piga ua awe na sifa moja kubwa kusimamia katiba maana miimili yote imeipa mgogo

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
218
194
Rais wa Tanzania 2020 piga ua awe na sifa moja kubwa kusimamia katiba maana miimili yote imeipa mgogo. Ms ajili, Serekali, Polisi, bunge, mahakama na mtu mpaka Sasa anayefiti Tundu Lissu, ndiye mtetezi mkuu wa katiba na Kwa Nini tusimpigie kampeni Sasa, awe Rais 2020. Hata Kwa miaka mitano kwanza. Viva lisu, Viva lisu
 
TUNDU LISSU for PRESIDENCY 2020.
Screenshot_20190322-144054.jpg


"Mopao Mokonzi"
 
Back
Top Bottom