Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

CURIOSITY_200

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
320
260
Tunaopenda mabadiliko tumeshindwa kukata tamaa coz uchaguzi uliopita walisema tumeleta fisadi japo angekuwa upande wao story ingekuwa tofauti.

Kimsingi ni kuwa wewe ni lazima ugombee uraisi wa Tz 2020 vinginevyo tusubiri miaka elfu ili tuwaondoe haya majizi yanayopeana vijiti kwa slogans km maisha bora to hapa kazi tu.

Iko hv, NBS takwimu, over 70% ni hakuna elimu na la 7, over 70% wako vijijini na mitaa ya mbagala, shuguli kuu kilimo na formal sector employs about 2.4 million persons ambapo 75% wako private sector.

Kwa hizo takwimu hatuwezi kushinda kwa bahati ila kwa mikakati thabiti. Kifupi ni kwamba wako wengi wanaomlaumu lowassa kwamba slaa angeshinda 2015, siwalaumu maana majority hawaelewi voters demographics.

Slaa alishabatizwa ametumwa na Vatican na mbaya zaidi amemwibia mwenzake mke. KM huelewi how identify matters when it comes to making choices where there are abject poverty and ignorance huwezi kuelewa kirahisi kuwa both lowassa na slaa were destined to lose.

I hope mnaelewa maana ya ku lose elections ukiwa mpinzani, ni kwamba umeshinda kwa tofauti ndongo n by ndongo I mean less than 20%.

Kwa hiyo, Tundu Lissu tunakuomba kuanzia sasa anzisha harakati ya kuchukua uraisi wa Tz 2020 kwa kufanya yafutayo;

1. Tangaza not necessarily directly lakini kwa kusema you're considering possibility of running. Hii manufaa yake ni kuwa utakuwa kwenye public whether for good or bad reasons, siwezi kueleze kwa kina ila kwa reference, chukua kesi na Trump na magufuli, note majority of human populations are of low IQ, can't digest why someone is on public spot lights, hata lowassa got that much using the same approach.

2. Naelewa fedha ni tatizo kubwa ktk uchaguzi wowote duniani, anayebeza haelewi political ground games. Tayaari tuna 2.4 million persons in formal sector. Hawa on average wanaweza kuchanga TZS 150,000 from now to 2020, kwamba zitakuwepo 1000 na millions kadhaa. This is only feasible if you start now.

3. The rest nitafute kwa mikakati, you have been consistent all along, you deserve presidency of Tz. Wish you all the best.
 
Urais ni neno pana Mkuu je awe Rais wa Matahaira au Rais wa Wavuta Bangi au Rais wa Wapayukaji au Rais wa Wanaopenda kutoka Bungeni kila mara au Rais wa UKUTA au Rais wa Wapingaji wakuu wa kila Kitu wanaougua Ugonjwa ambao Professor Kitila Mkumbo kauita ODD ( Opposition Defiant Disorder )
 
Kwa sasa ni RAISI wa wanasheria wote Tanganyika, by the way wewe ni moja wa wale mijizi inayonufaika na uwizi wa kodi zetu kwa gharama ya watz wengi wajinga
 
Labda Raisi WA TFF,akimaliza muda wake TLS.,ukiamka lala tena labda waweza kuota na wewe unakuwa mbunge wa East Africa.
 
Urais ni neno pana Mkuu je awe Rais wa Matahaira au Rais wa Wavuta Bangi au Rais wa Wapayukaji au Rais wa Wanaopenda kutoka Bungeni kila mara au Rais wa UKUTA au Rais wa Wapingaji wakuu wa kila Kitu wanaougua Ugonjwa ambao Professor Kitila Mkumbo kauita ODD ( Opposition Defiant Disorder )
Pacemaker
 
Tunaopenda mabadiliko tumeshindwa kukata tamaa coz uchaguzi uliopita walisema tumeleta fisadi japo angekuwa upande wao story ingekuwa tofauti.

Kimsingi ni kuwa wewe ni lazima ugombee uraisi wa Tz 2020 vinginevyo tusubiri miaka elfu ili tuwaondoe haya majizi yanayopeana vijiti kwa slogans km maisha bora to hapa kazi tu.

Iko hv, NBS takwimu, over 70% ni hakuna elimu na la 7, over 70% wako vijijini na mitaa ya mbagala, shuguli kuu kilimo na formal sector employs about 2.4 million persons ambapo 75% wako private sector.

Kwa hizo takwimu hatuwezi kushinda kwa bahati ila kwa mikakati thabiti. Kifupi ni kwamba wako wengi wanaomlaumu lowassa kwamba slaa angeshinda 2015, siwalaumu maana majority hawaelewi voters demographics.

Slaa alishabatizwa ametumwa na Vatican na mbaya zaidi amemwibia mwenzake mke. KM huelewi how identify matters when it comes to making choices where there are abject poverty and ignorance huwezi kuelewa kirahisi kuwa both lowassa na slaa were destined to lose.

I hope mnaelewa maana ya ku lose elections ukiwa mpinzani, ni kwamba umeshinda kwa tofauti ndongo n by ndongo I mean less than 20%.

Kwa hiyo, Tundu Lissu tunakuomba kuanzia sasa anzisha harakati ya kuchukua uraisi wa Tz 2020 kwa kufanya yafutayo;

1. Tangaza not necessarily directly lakini kwa kusema you're considering possibility of running. Hii manufaa yake ni kuwa utakuwa kwenye public whether for good or bad reasons, siwezi kueleze kwa kina ila kwa reference, chukua kesi na Trump na magufuli, note majority of human populations are of low IQ, can't digest why someone is on public spot lights, hata lowassa got that much using the same approach.

2. Naelewa fedha ni tatizo kubwa ktk uchaguzi wowote duniani, anayebeza haelewi political ground games. Tayaari tuna 2.4 million persons in formal sector. Hawa on average wanaweza kuchanga TZS 150,000 from now to 2020, kwamba zitakuwepo 1000 na millions kadhaa. This is only feasible if you start now.

3. The rest nitafute kwa mikakati, you have been consistent all along, you deserve presidency of Tz. Wish you all the best.
Ulipoanza umbea wa kumcafua slaa tuu, nikaona na wewe ni mpuuzi unaestahili kupuuzwa
 
Urais ni neno pana Mkuu je awe Rais wa Matahaira au Rais wa Wavuta Bangi au Rais wa Wapayukaji au Rais wa Wanaopenda kutoka Bungeni kila mara au Rais wa UKUTA au Rais wa Wapingaji wakuu wa kila Kitu wanaougua Ugonjwa ambao Professor Kitila Mkumbo kauita ODD ( Opposition Defiant Disorder )
Watu wenye utahira wa aina ya Lissu ndio wanaotakiwa kwa kuwa utahira wao siyo wa kuokota makopo jalalani ni wa kuwahurumia wananchi wenye,nia ya kuwaletea wananchi maendeleo,usokuwa tayari kuwapigia Magoti magamba wakati wa raha na wakati wa dhiki.
 
Tunaopenda mabadiliko tumeshindwa kukata tamaa coz uchaguzi uliopita walisema tumeleta fisadi japo angekuwa upande wao story ingekuwa tofauti.

Kimsingi ni kuwa wewe ni lazima ugombee uraisi wa Tz 2020 vinginevyo tusubiri miaka elfu ili tuwaondoe haya majizi yanayopeana vijiti kwa slogans km maisha bora to hapa kazi tu.

Iko hv, NBS takwimu, over 70% ni hakuna elimu na la 7, over 70% wako vijijini na mitaa ya mbagala, shuguli kuu kilimo na formal sector employs about 2.4 million persons ambapo 75% wako private sector.

Kwa hizo takwimu hatuwezi kushinda kwa bahati ila kwa mikakati thabiti. Kifupi ni kwamba wako wengi wanaomlaumu lowassa kwamba slaa angeshinda 2015, siwalaumu maana majority hawaelewi voters demographics.

Slaa alishabatizwa ametumwa na Vatican na mbaya zaidi amemwibia mwenzake mke. KM huelewi how identify matters when it comes to making choices where there are abject poverty and ignorance huwezi kuelewa kirahisi kuwa both lowassa na slaa were destined to lose.

I hope mnaelewa maana ya ku lose elections ukiwa mpinzani, ni kwamba umeshinda kwa tofauti ndongo n by ndongo I mean less than 20%.

Kwa hiyo, Tundu Lissu tunakuomba kuanzia sasa anzisha harakati ya kuchukua uraisi wa Tz 2020 kwa kufanya yafutayo;

1. Tangaza not necessarily directly lakini kwa kusema you're considering possibility of running. Hii manufaa yake ni kuwa utakuwa kwenye public whether for good or bad reasons, siwezi kueleze kwa kina ila kwa reference, chukua kesi na Trump na magufuli, note majority of human populations are of low IQ, can't digest why someone is on public spot lights, hata lowassa got that much using the same approach.

2. Naelewa fedha ni tatizo kubwa ktk uchaguzi wowote duniani, anayebeza haelewi political ground games. Tayaari tuna 2.4 million persons in formal sector. Hawa on average wanaweza kuchanga TZS 150,000 from now to 2020, kwamba zitakuwepo 1000 na millions kadhaa. This is only feasible if you start now.

3. The rest nitafute kwa mikakati, you have been consistent all along, you deserve presidency of Tz. Wish you all the best.
You can't be serious
 
The man is deserving for sure if he will dare mark my word patachimbika. Maana huyo mutu hapendi madharau halafu yuko na ujasiri haogopi battle
 
Kwa mawazo au maombi hayo tu, umeshaua Chadema tayari. Bora Lowassa, Tundu haaminiki. Nasema hivi, NEVER, Tundu Lissu atakuja kuwa rais wa nchii hii.
 
Urais ni neno pana Mkuu je awe Rais wa Matahaira au Rais wa Wavuta Bangi au Rais wa Wapayukaji au Rais wa Wanaopenda kutoka Bungeni kila mara au Rais wa UKUTA au Rais wa Wapingaji wakuu wa kila Kitu wanaougua Ugonjwa ambao Professor Kitila Mkumbo kauita ODD ( Opposition Defiant Disorder )

Duh aisee
 
Uchwara
 
kwa vitendo na lugha aliyeonyesha Tundu Lissu hafai kuwa hata katibu kata. Huo urais wa TLS ilikuwa big mistake kumpa.
 
Back
Top Bottom