Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu

Watu wenye utahira wa aina ya Lissu ndio wanaotakiwa kwa kuwa utahira wao siyo wa kuokota makopo jalalani ni wa kuwahurumia wananchi wenye,nia ya kuwaletea wananchi maendeleo,usokuwa tayari kuwapigia Magoti magamba wakati wa raha na wakati wa dhiki.

Tuna Watu balaaa. Huyu Lissu wa Lowasa fisadi. The Lowasa the Hero. Au
 
19145879_1494919637224784_4441117257076111441_n.jpg
 
Watu wenye utahira wa aina ya Lissu ndio wanaotakiwa kwa kuwa utahira wao siyo wa kuokota makopo jalalani ni wa kuwahurumia wananchi wenye,nia ya kuwaletea wananchi maendeleo,usokuwa tayari kuwapigia Magoti magamba wakati wa raha na wakati wa dhiki.
Nenda Jimboni kwake ukaone kama kweli anasaidia wananchi wake!! Yule vuvuzela la kisiasa mkuu!!
 
Zito alikuwa karata nzuri sana kwa wapinzani kama mngemtunza,lkn kwa sasa hamna candidate humo kwenye kikundi cha wapiga kelele darasani...........Lissu hana akili ya kutosha kuongoza,ana akili ya kukosoa tuuuuu,hata kwa jema
 
Watu wenye utahira wa aina ya Lissu ndio wanaotakiwa kwa kuwa utahira wao siyo wa kuokota makopo jalalani ni wa kuwahurumia wananchi wenye,nia ya kuwaletea wananchi maendeleo,usokuwa tayari kuwapigia Magoti magamba wakati wa raha na wakati wa dhiki.
Kuletea watu wapi maendeleo wakati hata jimbo lake limemshinda? upeleke maendeleo kwa jil?ani wakati kwako pako hovyo
 
Tunaopenda mabadiliko tumeshindwa kukata tamaa coz uchaguzi uliopita walisema tumeleta fisadi japo angekuwa upande wao story ingekuwa tofauti.

Kimsingi ni kuwa wewe ni lazima ugombee uraisi wa Tz 2020 vinginevyo tusubiri miaka elfu ili tuwaondoe haya majizi yanayopeana vijiti kwa slogans km maisha bora to hapa kazi tu.

Iko hv, NBS takwimu, over 70% ni hakuna elimu na la 7, over 70% wako vijijini na mitaa ya mbagala, shuguli kuu kilimo na formal sector employs about 2.4 million persons ambapo 75% wako private sector.

Kwa hizo takwimu hatuwezi kushinda kwa bahati ila kwa mikakati thabiti. Kifupi ni kwamba wako wengi wanaomlaumu lowassa kwamba slaa angeshinda 2015, siwalaumu maana majority hawaelewi voters demographics.

Slaa alishabatizwa ametumwa na Vatican na mbaya zaidi amemwibia mwenzake mke. KM huelewi how identify matters when it comes to making choices where there are abject poverty and ignorance huwezi kuelewa kirahisi kuwa both lowassa na slaa were destined to lose.

I hope mnaelewa maana ya ku lose elections ukiwa mpinzani, ni kwamba umeshinda kwa tofauti ndongo n by ndongo I mean less than 20%.

Kwa hiyo, Tundu Lissu tunakuomba kuanzia sasa anzisha harakati ya kuchukua uraisi wa Tz 2020 kwa kufanya yafutayo;

1. Tangaza not necessarily directly lakini kwa kusema you're considering possibility of running. Hii manufaa yake ni kuwa utakuwa kwenye public whether for good or bad reasons, siwezi kueleze kwa kina ila kwa reference, chukua kesi na Trump na magufuli, note majority of human populations are of low IQ, can't digest why someone is on public spot lights, hata lowassa got that much using the same approach.

2. Naelewa fedha ni tatizo kubwa ktk uchaguzi wowote duniani, anayebeza haelewi political ground games. Tayaari tuna 2.4 million persons in formal sector. Hawa on average wanaweza kuchanga TZS 150,000 from now to 2020, kwamba zitakuwepo 1000 na millions kadhaa. This is only feasible if you start now.

3. The rest nitafute kwa mikakati, you have been consistent all along, you deserve presidency of Tz. Wish you all the best.
WHAT? LABDA RAIS WA TFF HAPO NAKUBALIANA.
 
Rais wa TLS. Sio nchi hii.
Sifa moja KUU ya kuwa rais wa Tz lazima uwe na AKILI TIMAMU, ni wazi kwa sifa hii tu jamaa hana vigezo.
 
Labda Raisi wa Chama cha Mazezeta Tanzania!
 
Nenda Jimboni kwake ukaone kama kweli anasaidia wananchi wake!! Yule vuvuzela la kisiasa mkuu!!
Kama Lissu analaumiwa kwa kushindwa kuwasaidia wananchi wake CCM na Rais wao pamoja na wabunge wote wa CCM waliokuwa wabunge wa jimbo hilo tangu Tanzania inazaliwa wao wanaponaje kulaumiwa wakati wangekuwa ni watu wa msaada katika jimbo hilo Lissu angekuwa anaongoza jimbo lenye maendeleo kwa kuwa CCM wangekuwa wameshamaliza Shida zote.
 
Back
Top Bottom