Rais wa Nigeria ashusha bei ya Mafuta

Rais wa Nigeria ashusha bei ya Mafuta

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,209
Baada ya maandamano yasiyo na Kikomo,rais wa Nigeria amesalim amri kwa kupunguza bei ya mafuta,ambapo kwa sasa yanauzwa dola 2 kwa galoni,punguzo hilo ni la 30%,Jonathan amelihutubia taifa leo baada ya kuwa kimya tangu vurugu zianze
sosi😀W
 
Halafu kuna mtu anasema nguvu ya umma haina maana!
 
Duh yaani bei ya mafuta ni haizidi shilingi 800/L nchi haikaliki, je ingekuwa ka huku kwetu ingekuwaje? Kwa kweli huku kwetu bado tunalala!

wenzetu wanauchungu na nchi yao na maisha yao lakini siyo sisi watz.juzi tumepandishiwa umeme watu kimya umeme wenyewe wa mafungu,hayo mafuta yanapanda kila wk lakini bado tupo kimya.eewe mungu naomba uhurumie sisi watanzania tuweze kujitambu.
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Acha kudanganya kama na ww hujui omba msaada

1 gallon = 4.546 litres

Tatizo la kusoma "Arts" kuanzia darasa la kwanza!
==============================

1 liter = 0.26417205 US gallons
1 liter = 0.21996919 UK (Imperial) gallons
==============================
 
Me namuomba Mungu aje aichukue nchi yake ya Tanganyika,aifinyange upya sisi aliotuweka humu hatuna maana kabisa,yaani tunamsononesha Mungu vibaya sana,tunalia na maisha magumu kila siku wakati ametupa utajiri kibao ndani ya nchi,kwa kweli aje tu atunyang'anye Nchi yake.
 
nani huyo?aje?
 
Back
Top Bottom