Rais wa Namibia Mh. Hifikepunye Pohamba, Ameshinda Tuzo ya Mo Ibrahim

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
Tuzo ya Rais bora Afrika imekwenda kwa Rais wa Namibia ndg H. Pohamba.Tukumbuke misingi mojawapo katika utawal bora ni utawala wa sheria,majadiliano.

Rais Pohamba ametajwa mshindi mchana huu na Ahmed Salim wa Tanzania mjini Nairobi Kenya.

Chanzo: Radio DW

My Take; Rais H. Pohamba amemshinda Rais wetu Kikwete kwenye utawala bora. Rais wa kwetu ameshindwa kwasababu katika utawala wake watu fulani wanauawa kwa ajili ya kupata mali na pia ameshindwa kukaa na kuelewana na kuaminiana na viongozi wenzake wa kisiasa.

_81333641_gettyimages_453251658.jpg


The outgoing Namibian President Hifikepunye Pohamba has won the world's most valuable individual award, the Mo Ibrahim prize for African leadership.

The $5m (£3.2m) award is given each year to an elected leader who governed well, raised living standards and then left office.

But the previous award was the fourth in five years to have gone unclaimed.

Mr Pohamba, a former rebel who fought for his country's independence, has served two terms as Namibian president.

He was first elected in 2004, and again in 2009. He is due to be succeeded by President-elect, Hage Geingob.

Mr Pohamba was a founding member of the South West Africa People's Organisation (Swapo), an armed movement that waged a decades-long campaign against South African rule.

Since the country won independence in 1990, Swapo has dominated politics, usually winning huge majorities in elections.

Mr Pohamba was named recipient of the 2014 Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership at a ceremony in Nairobi, Kenya.

Mo Ibrahim is a British-Sudanese mobile communications entrepreneur and philanthropist who made billions from investing in Africa.

He launched the prize to encourage African leaders to leave power peacefully.

The inaugural prize was awarded in 2007 to Joaquim Chissano, Mozambique's former president, who has since acted as a mediator in several African disputes.

The $5m prize is spread over 10 years and is followed by $200,000 a year for life.

http://goo.gl/TpwLjI
 
Huyu wa kwetu msani sana hapa hakuna utawala bora,kuna bora utawala.Viongozi wetu wanajivunia kuwa watanzania wakati wananchi wanavumilia kuwa watanzania.
 
Amemshinda kwani walikuwa wapinzani!!

Rais wetu hana sifa hata ya kuteuliwa kushiriki hicho kinyang'anyiro, achilia mbali kuweza kuweka ligi na mshindi.
 
Hongera Hifikepunye Po Hamba. Binafsi nimepata kuzungumza naye. Honest is an understatement. Innocent is what he is, by deed and by word.
 
Hawezi pata wa kwetu kutokana na uteuzi wa wakuu wa wilaya wa aina hii hawezi atazisikia tu.
 
Wa kwetu kupata itakuwa muujiza. ESCROW ndio imekomelea msumari wa mwisho kwenye...
 
Mkuu, nilidhani tuzo huenda kwa Rais aliyemaliza muda sio hao waliopo madarakani. Kama ndivyo Pohamba hawezi kupata kwa wakati mpaka amalize muhula wake. I stand to be corrected. Labda kama kapewa Sam Nujuoma
Wewe Tomaso?kapigwa chini na Pohamba ndiye kasinda maana si mnafiki.Kashinda kweli,unaambiwa huko Windhook furaha.
 
MO Ibrahim ni tunzo kwa ajili ya marais wastaafu. Kikwete hajasitaafu. rais mpya wa namibia kashapatikata na Pohamba anasubiri kukabidhi kiti tu tarehe 21 ya mwezi huu kwa rais mpya Hage Geingob.

Tuzo ya Rais bora Afrika imekwenda kwa Rais wa Namibia ndg H. Pohamba. Amemshinda Rais wetu kwenye utawala bora.Tukumbuke misingi mojawapo katika utawal bora ni utawala wa sheria,majadiliano.Rais wa kwetu ameshindwa kwasababu katika utawala wake watu fulani wanauwawa kwa ajili ya kupata mali na pia ameshindwa kukaa na kuelewana na kuaminiana na viongozi wenzake wa kisiasa.

Rais Pohamba ametajwa mshindi mchana huu na Ahmed Salim wa Tanzania mjini Nairobi Kenya.

Chanzo;Radio DW
 
Kati ya viongozi wa serikali africa wanaongoza kwa humbleness ni Namibians.

Niliishi huko kwa miaka 10, mawaziri unapishana nao shopping mall vizuri tu na mstarini wanasuburi kulipa. Ukienda park unawakuta. Na sikuona kama ni watu wenye tamaa.
 
Wewe Tomaso?kapigwa chini na Pohamba ndiye kasinda maana si mnafiki.Kashinda kweli,unaambiwa huko Windhook furaha.

Good and well. Sasa ukijibu bila kuweka wewe ni Tomaso unakosa nini?
 
Nimeamini watanzania wana roho mbaya sana. Ila siwalaum maana tu-wavivu kusoma na kuchambua mambo. Mtoa mada kapotosha basi wote mkafuata mkumbo.

Mmeshindwa hata kusoma hiyo article ya kiingereza walau mgeweza kujua watu gani wanastahili kupata hiyo tuzo,badala yake mmeanza kumshambulia Mtukufu Rais Profesa Kikwete bila hata sababu za msingi. Mnahuzunisha sana kwa kuhorojoka horojoka kama wapashkuna.
The Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership

One of the founding initiatives of the Foundation, the Ibrahim Prize celebrates excellence in African leadership. It is awarded to a former Executive Head of State or Government by an independent Prize Committee composed of eminent figures, including two Nobel Laureates.

The Ibrahim Prize



  • recognises and celebrates African leaders who have developed their countries, lifted people out of poverty and paved the way for sustainable and equitable prosperity
  • highlights exceptional role models for the continent
  • ensures that Africa continues to benefit from the experience and expertise of exceptional leaders when they leave national office, by enabling them to continue in other public roles on the continent

Criteria


  • former African Executive Head of State or Government
  • left office in the last three years
  • democratically elected
  • served his/her constitutionally mandated term
  • demonstrated exceptional leadership

Source: http://www.moibrahimfoundation.org/ibrahim-prize/
 
Nimeamini watanzania wana roho mbaya sana. Ila siwalaum maana tu-wavivu kusoma na kuchambua mambo. Mtoa mada kapotosha basi wote mkafuata mkumbo.

Mmeshindwa hata kusoma hiyo article ya kiingereza walau mgeweza kujua watu gani wanastahili kupata hiyo tuzo,badala yake mmeanza kumshambulia Mtukufu Rais Profesa Kikwete bila hata sababu za msingi. Mnahuzunisha sana kwa kuhorojoka horojoka kama wapashkuna.
Mtoa mada haja potosha maana hajataja jina wala nchi ambaye rais wake ameshindwa.But kinachoonekana hapa ni kuwa uenda rais huyu hataweza kushinda tuzo hiyo hata atakapokuwa nje ya ofisi ya umma maana sifa za kushinda anazitengeneza akiwa ofisini na si baada ya kutoka.
 
MO Ibrahim ni tunzo kwa ajili ya marais wastaafu. Kikwete hajasitaafu. rais mpya wa namibia kashapatikata na Pohamba anasubiri kukabidhi kiti tu tarehe 21 ya mwezi huu kwa rais mpya Hage Geingob.
Wapi GOR amemtaja Kkwete (jinsi ulivyo document).....hapo tunachanganya na akili zetu = Answer.
 
Back
Top Bottom