Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,908
- 288,003
USA siyo usikuKigagula kazini
Usiku wa manane
Sawa Da MangeUSA siyo usiku
Kwani simiyu Kuna mtaa unaitwa USA?!!!!USA siyo usiku
Una changamoto ya afya ya akili.Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa
Deni la taifa ni himilivu ??? Makofi kwake tafadhali. Na hii ni kwa majuha wote wa ccm akiwemo yy tuMama Samia noma sana, atawakeshesha minyumbu na kuipa tabu mpaka muda wake unaisha 2030 dadadadeki.
Kwenye geopolitics unafanya kazi na yeyote kinachotofautiana ni level tu ya ushirikiano na kinachoangaliwa zaidi ni maslahi ya nchi kwanza.Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa
Anatafuta kujharibiaNchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa
Nani kasema ukialikwa.huwezi kukataa ???kaalikwa hawezi kukataa ...
Yupo tukuyu anaanika mpunga,juzi wamepandishiwa ushuru wa gunia toka buku mpaka buku mbili akalalamikaKwani simiyu Kuna mtaa unaitwa USA?!!!!
Nani kasema ukialikwa.huwezi kukataa ???
Jana Foreign Minister wa Italy amefuta safari yake kuelekea USA baada ya Trump kuongea ngebe kuhusu PM wa Italy.
Unajadili kwa ubaya wewe na hao deal makersNchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa
Nchi nyingi za Afrika hawana rekodi ya kujali haki za binadamu. Hili wala halishangazi.kaalikwa hawezi kukataa ...