Rais wa Mbeya MR SUGU.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Mbeya MR SUGU..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jamii01, Nov 14, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Taarifa: Mbeya hali ni shwari wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida...na wananchi wote 386 waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi sasa wako huru,ambapo kati yao 34 wameachiwa kwa dhamana na wengine wote wameachiwa bila dhamana...naangalia utaratibu wa kuwawekea wakili wananchi hawa 34 kwani naamini wote ni innocent citizens...
   
 2. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hao 34 pia ipo siku wataachiwa bila tu kwani hawana hatia.
   
 3. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Mambo si ndo hayo!!
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hao daruso wanao jiita wasomi wajifunze kwa hili la mbeya
   
Loading...