Mkuu hata ukatibu mkuu nimekosa kwenye list aise na kwenda kote mlingotini sijapata nafasi aise
Afadhali umeniona maana wote wamenisusa sijapata hata nafsi ya ujairo aisemwanamke wa kwanza ntahakikisha unapata nafasi nyeti madini.
Afadhali umeniona maana wote wamenisusa sijapata hata nafsi ya ujairo aise
usijali
ntahitaji malipo fulani hivi
uje umevaa sing'ilendi
Canta utakuwa umesome wapi iyo kazi? Merry Xmas!:A S-coffee:
wewe nakupa kazi ya maombi katika misafara yangu yote
na mwaname wa kwanza mmempata
mkuu naomba uniweke usalama wa taifa.
wee excellent, nataka madini bwana
komedi kitu gani
na mie napenda buzwagi na meremeta