Rais wa Gambia asema hang'atuki mamlakani ngo'

Rais wa Gambia asema hang'atuki mamlakani ngo'

Mimi naon kitu tofauti kwenye suala hili la Gambia.......ingawaje taswira ya kimataifa imemjengea kuonekana kuwa ni mng'a ng'aniaji wa madaraka....
 
Atang'oka tu kwa mtutu wa bunduki kama Gbagbo wa Ivory Coast alivyotolewa uchi! Asitoke kwani ile nchi alinunua soko lipi?! Ecowas hawanaga mcheso mcheso kwenye mambo hayo ndio maana uliona yule ajuza wa Senegal alishindwa akaondoka, Jonathan wa Nigeria akashindwa akaondoka na majuzi Mahama wa Ghana ameshindwa akakubali yaishe! Hapo alipo Gambia ambayo imezungukwa na Senegal pande zote isipokua bahari ya Atlantic na kwa sasa imeelemewa na vikwazo vya kiuchumi kutoka Senegal, ECOWAS watamfurusha come january 19 siku anayotakiwa kuapishwa Adama Barrow. Kuna Manowari ya kivita ya Marekani imesogea Dakar mji mkuu wa Senegal ambao hauko mbali sana na Banjul mji mkuu wa Gambia na special forces wanatambaa ardhini tayari, watch this space!
 
Ukiona hivyo kaburi linamuita.
Hata saddam na Qaddafi waliongea maneno ya kanga kama haya.
Sasa hivi wako wapi...?
 
ATE="Daud1990, post: 19064413, member: 214818"]Cursed Black Continent[/QUOTE]
Africans are Black in everything. And I think in creation we are the most inferior human being
 
Back
Top Bottom