Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Tatizo lenu mmesahau kuwa Kabila si mkongoman halisi na wakongo wanampenda usoni tu lakini moyoni hawako na kabila, hata hao wanajeshi wanajua, wanajeshi hawanaga rafiki wakudumu, hivyo watu wasitegemee ati vile walikuwa mtiifu kwa kabila basi ndio hawawez kumbadilikia na kumpa kisogo, anything can happen.wacongoman wanaojua historia ya viongozi wao hawawezi kumshobokea kabila, wanaomshobokea ni kwasababu za maslahi yao binafsi na so vinginevyo.kurudi kwa moise katumbi kumemuongezea point nyingi president, vile wafuasi wa katumbi wanampa big up president, hii itamfanya kupata utulivu wa moyo Mr President.
Hapo umeongea
 
Hahahaha ,uko umesema vile umeona, nakubali maneno /maandishi yako

Hii ni game tena ya Chase na si draft ,huwa nasema humu kila siku

Felix na JKK wanacheza /changa karata vzr mno, Hahahaha next day nitaendelea
 
Hahahaha na yule anaesema alisukumiziwa urais nae sema kasukumiziwa urais ni muroho pia wa madaraka?
Wote waroho ila tofauti zao Kabila anapenda kutawala bado ndio kamweka Tshekedi bila kujielewa kaingia kwenye mtego wa Kabila kwa kufanywa MSUKULE kama hivi
 
Back
Top Bottom