Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,704
Reaction score
7,409
Baada ya ngoja ngoja ya muda mrefu hatimaye Rais Felix Tshekedi wa Congo DRC amemteua waziri mkuu mpya.

Waziri mkuu huyo ni professor Ilunga kutoka chama cha Rais Kabila chenye wabunge wengi.

Professor Ilunga ambaye hakutarajiwa kushika nafasi hiyo anapaswa kuunda serikali ambayo mawaziri 80% watakuwa kutoka muungano wa vyama vinavyomuunga mkono Kabila FCC. Chama cha Tshekedi kinatarajiwa kupata mawaziri asilimia 20 kwa kuwa kina idadi ndogo ya wabunge.

Pia mwanasiasa maarufu aliyehitilafiana na Kabila Moise Katumbi amerejea nchini Congo DRC Leo baada ya kuishi uhamishoni miaka mitatu. Kurejea kwake kunatarajiwa kubadilisha sura ya siasa za Congo na huenda akajumishwa serikalini.
Katumbi ndiye mmiliki wa timu ya Tupwiza Mazembe.
 
Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
 
Shida ipo hapo
 
Kiafrika,hao ni rahisi mno kununulika na Tshekedi
 
Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Labda nao wataunga mkono juhudi kama wakwetu...
 
Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!
Hahahaha. Moise Katumbi atadhibitiwa tu usijari Mkuu

Kuhusu Felix Tshishekedi pia usihofu ,jamaa anaenda vzr
 
Jeshi pia ni rahisi kuhongwa.Akiongeza tuu mpunga na kuwafanya wale majenerali waishi kama peponi,ujue Kabila kwisha habari yake.
Kwa kuwa jeshi ni la Kabila hawana namna ,lazima watakuwa na nidhamu kwa Kabila;
Majenerali wengi ni watu wa Kabila toka yy yuko jeshini , na Gen Numbi na Gen Tango ni maswahiba haswa toka kitambo

Ila napenda jinsi Felix Tshishekedi anavyodili nao , kdg kdg kimya kimya
 
Back
Top Bottom