Akili fupi! Unafikiri kila mtu anakaa dar ili aende uwanjan? Je watu wa mpanda, kahama, mwz, nyambono na tandaimba hawana haki ya kuona au kusikiliza timu yao ya taifa? Inaonekana umetawaliwa na mfumo dume kuwa akina na dada/mama ndiyo wanaolalamika. Hii inaonyesha ulizaliwa kwenye familia ya namna gani. Je dadako na mamako wanalalamika sana?wamenyanyaswa sana ndani ya familia yenu? Amtukanae ke kwa kumdhalilisha basi umvkana mama yake. Je wewe ni mmoja wao?Wazalendo na wapenzi wa kweli wa Taifa Stars walikuwa uwanjani. Safari ijayo nenda uwanjani, acha kulalamika hovyo otherwise uwe ni mtoto wa kike ila kama wewe ni mtoto wa kiume hiyo ni dalili mbaya.
kwa akili yako watu na wapenzi watoke bukoba, kigoma, mtwara na lindi kuja Dar esalaam isitoshe matatizo
yanatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine ndiyo maana teknolojia ikawepo, komenti yako si yakiuungwana.
Akili fupi! Unafikiri kila mtu anakaa dar ili aende uwanjan? Je watu wa mpanda, kahama, mwz, nyambono na tandaimba hawana haki ya kuona au kusikiliza timu yao ya taifa? Inaonekana umetawaliwa na mfumo dume kuwa akina na dada/mama ndiyo wanaolalamika. Hii inaonyesha ulizaliwa kwenye familia ya namna gani. Je dadako na mamako wanalalamika sana?wamenyanyaswa sana ndani ya familia yenu? Amtukanae ke kwa kumdhalilisha basi umvkana mama yake. Je wewe ni mmoja wao?
Anzisha tv yako na wewe
Amesema wametoka nje ya nchi au hujamuelewa...........!hao jamaa zako wanatuhusu nn
Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.
Acha kufikiri kimasaburi,,Rafiki yake wa karibu wa PAPA FRANCIS 1 alisema alichelewa kuona moshi mweupe wa kumpata papa kwa sababu alikuwa anatazama mechi akiwa kama meneja wa real madrid,,hivyo kwa wenzetu kila jambo linapewa kipaumbele kama kawa hata kama ni sokaAnzisha tv yako na wewe
kwasababu wanasafiri bule, kulala hotelini bule, kuingia uwanjani bule, na wagonjwa watapona waweze kusafiri, wenye
kuingia ofisini kesho huko bukoba Ruvuma na kigoma watasamehewa wakikosa kuingia maofisini kwasababu walikuwa
safarini dar kuangalia taifa stars. Ndivo akili zako zinavofanya kazi eti? au ni matunda ya kawambwa na Mulugo wewe?
Kama mimi ni tunda la Mh. Kawambwa na Mh. Mulugo, Mh. Mbowe anayeitisha maandamano siku ya Jumatatu atakuwa ni tunda la nani?
Hebu tuliza kichwa aliyesema kuingia uwanjani hakutegemei hali ya uchumi wa mtu ni mbowe au wewe?
kwasababu ni wewe na kutokana na kupitia darasa la kawambwa na mulugo huna upeo wa kuyaona haya na pia kufahamu kwamba yanauhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa mwanadamu, kiuchumi, kiafya nk
kama wewe sio zao la kawambwa kanusha haya hapa chini kama sio kikwazo, tukuamini unachoongea.
i) wanasasafiri kwa fungu gani utawapa wewe hiyo fedha? mipira ya ulaya kila weekend unasafiri mara ngapi kuona mechi huko?
ii) watalala hotelini kwa fungu gani na kuingia uwanjani kwa mfuko upi wanapokuwa hapo Dar?
iii) Kwa walio wagonjwa na wanatamani kuuona mpira kupitia tv wataendaje uwanjani? au teknolojia kwako ni ujima?
iv) Je wafanyakazi katika secta binafsi na za serikali kesho huko bukoba Ruvuma na kigoma watasamehewa wakikosa kuingia maofisini kwasababu walikuwa safarini dar kuangalia taifa stars. Kipi kinatangulia kazi au kufunga ofisi kwa siku tatu wapenzi wote wasafili kuelekea dar?
We huoni mbali lazima utakuwa matunda ya kawambwa na Mulugo wewe trust me. Unamshobokea mbowe, mbowe anaweza kutoa komenti za ovyo kiasi hiki?
Unaonekana unapenda sana kuChat.
Wacha kutumia makalio kufikiria..hivi kila mtz angeenda uanjani, ungetosha? usiandike kama umeinamishwa/Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.
Wapenzi wa soka wanasafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kuangalia timu zao ndiyo itakuwa mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ndani ya nchi? Kwenda uwanjani hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kipato cha mtu.