Rais wa China ajisalimisha kwa Donald Trump!!

Rais wa China ajisalimisha kwa Donald Trump!!

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
15055804_703225623169201_2514481502266114042_n.jpg
 
Kaona kuisoma namba si kitu kidg akaona uchumi kwake kama kitu cha simu inavyopotea kwa kasi majanga ngoja nimshike mkono
 
hawa watu wana akili sio hisia na nongwa bali maslahi ya nchi mbele. wote wanategemeana kiuchumi
 
Siamini kama China itakuja kuwa rafiki wa kweli wa marekani maana kikubwa wanachoshina n jins ukuaji wa kiuchumi wa China na jins nchina anavyozd kupanada kitecnolojia na anvyoanza kudominate anavyodominate world market na bidhaa zake kuanzia mavaz electroni s mpaka machines hawez kuwa na urafiki nae ila lazma wakubaliane kuishi katika urafiki wa
Kinyani nyani
 
Back
Top Bottom