Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Hahaa nae kamjibuje??Alikuja kumuuliza mtukufu kwanini huwa haudhulii vikao?
Idris Derby ni dikteta mzoefu kwa miaka 26, sidhani kama alikuja kufanya unalofikiri.
Pengine alikuja kuchukua/kuleta mbinu mpya.
Ndio maana ninasema pengine alikuja kwa ajili ya mambo mengine lakini siyo hilo unalolifikiri.Mkuu hile ziara ilikua ya ghafla sana na awajaweka wazi ni nini kiliongelewa.
Ndio maana ninasema pengine alikuja kwa ajili ya mambo mengine lakini siyo hilo unalolifikiri.
Ni nchi nyingi sana Afrika zilizopindua matokeo ya uchaguzi na hazikufanywa chochote, kwa hiyo sishangai wao kukaa kimya kuhusu mambo ya kule kisiwani.
Hata mimi nilijiuliza alijia nini? sikupata jibu maana sijui Tanzania na Chad wanashirikiana kwenye nini na kwa namna gani?
No englishHahaa nae kamjibuje??
Yes, Idris derby and yayah jamme of Gambia. They call them "african medicine men"Idris Derby nasikia huwa ni mganga wa jadi