Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,138
- 48,806
Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aliwasili nchini juzi alhasiri na kupokelewa na Rais Magufuli. Rais huyo alienda moja kwa moja Ikulu kuzungumza na mwenyeji wake Rais Dkt. Magufuli.
Kuonyesha ujumbe huo ulikua wa haraka sana,Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika alizungumza na Rais Dkt. Magufuli kwa mda usiozidi masaa mawili.
Jana jioni Rais wa Zanzibar aliwasili nchini na kwenda moja kwa moja ikulu. Mpaka sasa hatujaelezwa dhumuni la ujio wa Rais wa Zanzibar.
Je Rais Dkt. Magufuli aliongea nini na Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Africa?
Je kuna ujumbe aliopewa Rais Dkt. Magufuli ampe Rais wa Zanzibar?
Anaejua,mwenye fununu naomba atujuze.