Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika alifata nini nchini?


kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,255
Likes
48,302
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,255 48,302 280
Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika aliwasili nchini juzi alhasiri na kupokelewa na Rais Magufuli. Rais huyo alienda moja kwa moja Ikulu kuzungumza na mwenyeji wake Rais Dkt. Magufuli.

Kuonyesha ujumbe huo ulikua wa haraka sana,Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika alizungumza na Rais Dkt. Magufuli kwa mda usiozidi masaa mawili.

Jana jioni Rais wa Zanzibar aliwasili nchini na kwenda moja kwa moja ikulu. Mpaka sasa hatujaelezwa dhumuni la ujio wa Rais wa Zanzibar.

Je Rais Dkt. Magufuli aliongea nini na Rais wa Chad/Mwenyekiti wa Umoja wa Africa?
Je kuna ujumbe aliopewa Rais Dkt. Magufuli ampe Rais wa Zanzibar?

Anaejua,mwenye fununu naomba atujuze.
 
gollocko

gollocko

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
2,948
Likes
1,771
Points
280
gollocko

gollocko

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
2,948 1,771 280
Idris Derby nasikia huwa ni mganga wa jadi
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,713
Likes
6,319
Points
280
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,713 6,319 280
Alikuja kumuuliza mtukufu kwanini huwa haudhulii vikao?
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,626
Likes
18,013
Points
280
Age
19
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,626 18,013 280
majambazi ya Africanswissme
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,255
Likes
48,302
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,255 48,302 280
Idris Derby ni dikteta mzoefu kwa miaka 26, sidhani kama alikuja kufanya unalofikiri.

Pengine alikuja kuchukua/kuleta mbinu mpya.
Mkuu hile ziara ilikua ya ghafla sana na awajaweka wazi ni nini kiliongelewa.
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,426
Likes
5,842
Points
280
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,426 5,842 280
Kuna ajenda ya kupiga kura AU........Morocco wanataka kurudi.......labda wakubwa hawataki!!!
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,306
Likes
9,075
Points
280
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,306 9,075 280
Mkuu hile ziara ilikua ya ghafla sana na awajaweka wazi ni nini kiliongelewa.
Ndio maana ninasema pengine alikuja kwa ajili ya mambo mengine lakini siyo hilo unalolifikiri.

Ni nchi nyingi sana Afrika zilizopindua matokeo ya uchaguzi na hazikufanywa chochote, kwa hiyo sishangai wao kukaa kimya kuhusu mambo ya kule kisiwani.
Hata mimi nilijiuliza alijia nini? sikupata jibu maana sijui Tanzania na Chad wanashirikiana kwenye nini na kwa namna gani?
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,255
Likes
48,302
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,255 48,302 280
Ndio maana ninasema pengine alikuja kwa ajili ya mambo mengine lakini siyo hilo unalolifikiri.

Ni nchi nyingi sana Afrika zilizopindua matokeo ya uchaguzi na hazikufanywa chochote, kwa hiyo sishangai wao kukaa kimya kuhusu mambo ya kule kisiwani.
Hata mimi nilijiuliza alijia nini? sikupata jibu maana sijui Tanzania na Chad wanashirikiana kwenye nini na kwa namna gani?
Bado ni kizungumkuti na hawasema mpaka sasa.
 
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Messages
1,578
Likes
1,015
Points
280
Lavan Island

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2015
1,578 1,015 280
Kuna inshu za ki usalama hapo ndio maana unaona haipo magazetini.
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,713
Likes
6,319
Points
280
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,713 6,319 280
Bongo tumehongwa uwanja wa mpira mkoani Dodoma ili tupigie debe morroco kurudi umoja wa Africa ndo derby kaja kupanga magarasa mapema isijekuwa aibu kikaoni
 
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
5,076
Likes
808
Points
280
MVUMBUZI

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
5,076 808 280
May be alikuja kumwongezea uoga wa kusafiri rais wetu. Hata Monduli ameogopa kwenda na itafika siku ataogopa hata kutoka nje ya lango la Ikulu. Rais atafute washauri optimistic ili wamjengee ujasiri
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
18,474
Likes
54,062
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
18,474 54,062 280
Mpaka sasa haijaeleweka si mikataba wala chochote, labda tusubiri.. Bwihi..! Bwihi..!
 
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2013
Messages
4,811
Likes
2,101
Points
280
strong ruler

strong ruler

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2013
4,811 2,101 280
Mbona madikteta wengi ndio wanao kuja hapa tanzania siku hizi?!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,122
Members 490,908
Posts 30,533,310