mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,752
Kamfuata abiria waondoke halafu hatokiMbona dereva Ana angalia kwa hasira sana alafu ofisi kama wenyewe wamekimbia
Wababe wa dunia wamekuwa wengi ..akijaribu kwenda tu utasikia Russia nayeye anatia maguuKwan hamna MAFUTA huko ata madin USA mbona mnaniaibisha cku hz
EeiiimenNatamani na sisi Watanzania siku moja tungeingia barabarani kwa umoja wetu kuiondoa CCM kupitia nguvu ya umma huku Polisi wetu na vyombo vingine vya usalama vikijiweka kando, na zaidi vikitupa ulinzi wa kutosha wakati wa safari yetu ya kumuondoa Mkoloni Mweusi Nchini mwetu.
Yahya Jamey, Mugabe, Museveni, Paul Kagame, nk.
DduuhhhUkimuangalia akiwa anaongea unaona kabisa anatetemeka kwa sababu anajua kabisa kabakiza siku chache za kuwa madarakani.
Nchi imesimama hakuna kazi yoyote ile inayoendelea watu wapo mitaani na mwisho wa mwezi ulifika wanajeshi,porisi wanataka mishahara yao.hapo ndipo balaa inapoanza maana jamaa uwa awakubali kabisa kula nyasi.
juzi television ya taifa ilikuwa empty hakuna hata mtu kwenye chumba cha kurushia matangazo, wote wapo bize na maandamano
Hawa kuondoka ni ngumu walio waweka pale walipo bado hawaja wachokaMwenzake kaondolewa jana 18-08-2020 IBRAHIM ABUBACAR KEITA wa MALI. Nayeye alikuwa hataki kutoka bado kina M7 na KAGAME.
Russia na Belarus ni washirika siku nyingi sana,hata mazoezi makubwa ya kijeshi huwa wanafanya pamoja,Ni moja kati ya jicho la Russia kuitizama NATO.Haya mambo warusi wanayafahamu virusi tu,Ila tu wananchi wakichioka hakuna kitu wanaweza fanya..Wababe wa dunia wamekuwa wengi ..akijaribu kwenda tu utasikia Russia nayeye anatia maguu
yule ndiyo kidume aisee,mwaka wa tisa huu anadunda tu,amshukuru sana mrusiKm kunavyuma vigumu navyovikubali ni yule wa Syria. Maelfu na maelfu wamekufa lakini mbishi bado yupo
Eeiiimen
EeeimeenCCM haina tofauti na zile taasisi au yale mashirika ya kikoloni na ipo siku ita ng'oka
Yeye anae kataa kutoka madarakani ana motive gani nyuma yake?.Human Being Is self inherently and this is not according to Plato but it has every thing to do with human nature which are motivated by self interest and selfishness..
As the matter of fact ;The president of Belarus proved beyond doubt he is a human we can't blame him in anyway so those who criticise him under the umbrella of democracy must have their motives behind be it politically or economically....