Symonjerry
Member
- Nov 16, 2017
- 68
- 86
Yahya Jamey, Mugabe, Museveni, Paul Kagame, nk.Jamaa utakua ana udugu na YAHYA JAME
Neno lake ni ada..watamuua kweliRais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
Subiri kidogo abiria atoke ndani..Natamani na sisi Watanzania siku moja tungeingia barabarani kwa umoja wetu kuiondoa CCM kupitia nguvu ya umma huku Polisi wetu na vyombo vingine vya usalama vikijiweka kando, na zaidi vikitupa ulinzi wa kutosha wakati wa safari yetu ya kumuondoa Mkoloni Mweusi Nchini mwetu.
Ipo karibu na mrusi, mrusi anaweza kuwafanya kama alichowafanya wa Crimea pale Ukraine. Kwaio USA lazima hapo aingie ili "kuweka demokrasia"Kwan hamna MAFUTA huko ata madin USA mbona mnaniaibisha cku hz
Chama chetu hakitoki madarakani labda mkipindue.Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
Mbona dereva Ana angalia kwa hasira sana alafu ofisi kama wenyewe wamekimbiaSubiri kidogo abiria atoke ndani..View attachment 1541312
Ametisha mbaya Mheshimiwa raisi wa huko Belarusi! Hiyo inaitwa bora nife kuliko kuachia hichi kiti!Rais wa Belarus,Alexander Lukashenko anayekabiliwa na shinikizo la Raia kuandamana wakimtaka ajiuzulu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26 amewaambia Raia hatoitisha uchaguzi mwingine labda wamuue “Mnasema uchaguzi haukuwa huru na haki, hakuna uchaguzi mwingine, labda mniue” https://t.co/AfSpz2bHjG
😁😁Ukifikiria sana hiyo kauli utaishia kucheka tu yani hata iweje babu kashasema na kaamua