Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,203
Reaction score
162,772
Iwapo rais wa awamu ya 5 atatoka CCM,nitaukana uraia wa nchi hii na kuhamia Somali ambapo hakuna serikali.

Ukiishi katika nchi ambayo unajua hakuna serikali ya kueleweka,basi hata yakitokea yasiyotarajiwa waweza jifariji ni kwasababu hatuna serikali.

Ukweli ni kuwa,inauma sana kuishi katika nchi ambayo serikali siku zote iko likizo!A failed state.

Mfano,waliokwapua hele za Escrow kupitia Stanbic bank eti serikali imeshindwa kuwabaini?

Tuna serikali alafu twiga wanapindishwa ndege na kusafirishwa nje ya nchi tena mchana kweupe!!

Mpokea rushwa anashitakiwa;mtoa rushwa uchunguzi unaendelea!

Miaka mingine mitano chini ya CCM ni bora kuhama nchi.
 
Raisi wa awamu ya 5 ni mzalendo Dr Slaa hao wengine ni wasindikizaji tuu ccm ina hali mbaya sana inaweza kufa muda wowote kabla hata uchaguzi.
 
Iwapo raisi wa awamu ya 5 atatoka CCM,nitaukana uraia wa nchi hii na kuhamia Somali ambapo hakuna serikali.

Ukiishi katika nchi ambayo unajua hakuna serikali ya kueleweka,basi hata yakitokea yasiyotarajiwa waweza jifariji ni kwasababu hatuna serikali.

Ukweli ni kuwa,inauma sana kuishi katika nchi ambayo serikali iko likizo!A failed state.

angalia maneno yako au unaongea kuchangamsha jukwaa hujui unamaanisha nini, sasa
nakushauri anza kabisa kuhamisha familia yako kwenda huko somal land
 
Mnadhalilisha maana ya serikali!
 
ha ha ha Mkuu Hii nchi iko kwenye Auto-Pilot sasa ivi,ina maana hujui?
 
Mkuu afadhali utangulie kabisa, wapinzani hawawezi kutangazwa washindi kwenye urais kamwe hata kama watashinda! Rais wa awamu ya tano hawezi tangazwa nje ya ccm kamwe. Pole ndugu, huo ndo ukweli.
 
Hata nauli ikipungua ni PM nitachangia kwa dhati ili kukuepusha na nadhiri Ulwell ya kuishi tz
 
Iwapo raisi wa awamu ya 5 atatoka CCM,nitaukana uraia wa nchi hii na kuhamia Somali ambapo hakuna serikali.

Ukiishi katika nchi ambayo unajua hakuna serikali ya kueleweka,basi hata yakitokea yasiyotarajiwa waweza jifariji ni kwasababu hatuna serikali.

Ukweli ni kuwa,inauma sana kuishi katika nchi ambayo serikali siku zote iko likizo!A failed state.

Mfano,waliokwapua hele za Escrow kupitia Stanbic bank eti serikali imeshindwa kuwabaini?

Tuna serikali alafu twiga wanapindishwa ndege na kusafirishwa nje ya nchi tena mchana kweupe!!

Mpokea rushwa anashitakiwa;mtoa rushwa uchunguzi unaendelea!

Miaka mingine mitano chini ya CCM ni bora kuhama nchi.

No news is good news!
 
Mkuu afadhali utangulie kabisa, wapinzani hawawezi kutangazwa washindi kwenye urais kamwe hata kama watashinda! Rais wa awamu ya tano hawezi tangazwa nje ya ccm kamwe. Pole ndugu, huo ndo ukweli.

Safari hii patachimbika na damu kumwagika.

Tusijidanganye,hakuna amani pasiko haki.
 
FYI... Hakuna nchi iliyo na uhuru wa kumchagua Rais wanayemtaka hasa katika kipindi hiki.

Rais yeyote yule huchaguliwa toka nje na kusimikwa toka juu kwa gharama yeyote ile, iwe ni umwagaji damu, iwe ni kupindishwa matokeo n.k.

Hivyo basi kama chunguza Mgombea ambaye atakuwa na influence toka nje ndiye atakayekuwa Rais.

Hayo yote unayolalamikia i.e Escrow, Twiga n.k. Yana baraka toka hukoo unadhani hao wawekezaji hawaoni na kila siku ndio kwanza wanamimina bilions of money TZ?? Juzi kati katoka hapa Rais wa Germany. Unahisi hafahamu sakata la Escrow na ufisadi uliokithiri kila kona???

Mimi sio mwanachama wa chama chochote nchini na wala sijawahi kuwa na sitawahi kuwa mwanachama wa chama chochote kile. Sijawahi kupiga kura na wala sitarajii kupiga kura kwani naelewa ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.

Utahangaika saaana lakini kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji....
 
Anza kutafuta mtaa Somalia dadadeki!
 
Mawazo hayo ni ya kitumwa!

I will never agree;Tanzania is not Afghanistan.
 
Back
Top Bottom