Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
[MWANDISHI]:
muheshimiwa umaweza
kutuambia kwanini nchi
yako ni maskini?
[RAISI]: hata mi
nashangaa na sijui
kwanini nchi yangu ni
maskini.
[MWANDISHI]: je mh.
unaweza kutuambia
kwanini vijana wa kidato
cha nne wamefeli sana
mwaka huu.
[RAISI]: unaniuliza hilo
swali kwani mimi waziri
wa elimu? we mwandishi
wa ajabu kabisa mimi
mwenyewe mtoto wangu
alifeli mwaka jana
mkamcheka sasa mlitaka
wakwenu wafaulu
muendele kumcheka
mwanangu hivyo mjue
serekali inafanyia kazi
kicheko chenu dhidi ya
mwanangu
[MWANDISHI]: mh na
unazumgumziaje kuhusu
wanafunzi waliopata
mimba ..
[RAISI:] hicho ni kiherehere
chao kwani hawaonagi
matangazo ya kondomu...
[MWANDISHI:] mh
unazunumziaje swala la
udini linalojitokeza hapa
nchini?
[RAISI:] aha ilo kwakweli
serekali inalishughulika
na kwa kuanza mmeona
wenyewe tumelifungia
gazeti la mwanahalisi na
nikuambie tu tutayafungia
magazeti yote yenye
kueneza udini nchini sasa
tumepata msaada
mkubwa kutoka marekani
watawatuma CIA
*****RAIS KAMA
HUYU UTAMCHUKULIAJE?
***
muheshimiwa umaweza
kutuambia kwanini nchi
yako ni maskini?
[RAISI]: hata mi
nashangaa na sijui
kwanini nchi yangu ni
maskini.
[MWANDISHI]: je mh.
unaweza kutuambia
kwanini vijana wa kidato
cha nne wamefeli sana
mwaka huu.
[RAISI]: unaniuliza hilo
swali kwani mimi waziri
wa elimu? we mwandishi
wa ajabu kabisa mimi
mwenyewe mtoto wangu
alifeli mwaka jana
mkamcheka sasa mlitaka
wakwenu wafaulu
muendele kumcheka
mwanangu hivyo mjue
serekali inafanyia kazi
kicheko chenu dhidi ya
mwanangu
[MWANDISHI]: mh na
unazumgumziaje kuhusu
wanafunzi waliopata
mimba ..
[RAISI:] hicho ni kiherehere
chao kwani hawaonagi
matangazo ya kondomu...
[MWANDISHI:] mh
unazunumziaje swala la
udini linalojitokeza hapa
nchini?
[RAISI:] aha ilo kwakweli
serekali inalishughulika
na kwa kuanza mmeona
wenyewe tumelifungia
gazeti la mwanahalisi na
nikuambie tu tutayafungia
magazeti yote yenye
kueneza udini nchini sasa
tumepata msaada
mkubwa kutoka marekani
watawatuma CIA
*****RAIS KAMA
HUYU UTAMCHUKULIAJE?
***