Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,645
Kiuhalisia Elimu bure haitekelezi kwa 100%Mleta post wewe ni Muongo, Fafanua kinaga ubaga, hiyo hela mnapo obwa mnaambiwa ni ya nini? Unajua isikje kua ni michango wa chakula chako unapo kua shuleni, harafu unakuja kuchafua uongozi wa shule,
Kila Fedha inakua na maelezo, ili tufatilie hii issues eleza ni michango ya nini, then utaona Matokeo ya post yako hii ndani ya wiki hii.
Wapenda vya bure na wavivu wa kufikiriKwahyo kutoa 150 kwa ajili ya chakula cha mtoto wako mwaka mzima umeona ni pesa nyingi sana!
Kwani hapo jirani hakuna shule jirani ambayo haina chakula ukamhamishia mwanao huko?
Halafu nina wasiwasi kama ni mchagga wa ukweli wewe!