kwani unadhani kuna kitu gani ambacho lazima Rais akizungumzie?
mwacheni apumzike kwa muda wa wiki nne alizoambiwa na Madaktari
Ni kawaida kwa rais wetu kuhutubia taifa kila mwisho wa mwezi. kwa kawaida hotuba hii hutolewa kati ya tarehe 30 mpaka 3 ya mwezi unaofuatiwa.
Mpaka leo tarehe 5/12/2014 mh Rais haujahutubia taifa huku wananchi tukiwa katika njia panda katika mambo lukuki.
Hotuba ya mwezi huu vipi ndugu Profesa dr Kikwete. Kwa maneno yako ulisema DR amekuzuia kufanya kazi ngumu, je na hii ya kuhutubia taifa nimojawapo??
mwacheni apumzike kwa muda wa wiki nne alizoambiwa na Madaktari
Mbona alishahutubia, ile aliyoitoa pale JNIA siku aliporudi toka US ndo hotuba yenyewe ya mwezi ile.
Wewe ni team nani au timu mengi?
Escrow na washirika wako team membe wapigwe chini.
Nyie wachaga wengine wakuchomwa moto majizi mpaka basi unakaa rombo mashati halafu uwe na akili,siyo rahisi.Nadhan atakua amesahau kidogo hakumbuki hotuba kuhusu tezi dume.
kwani unadhani kuna kitu gani ambacho lazima Rais akizungumzie?
Nyie wachaga wengine wakuchomwa moto majizi mpaka basi unakaa rombo mashati halafu uwe na akili,siyo rahisi.
mwacheni apumzike kwa muda wa wiki nne alizoambiwa na Madaktari