Rais Trump sasa kukomaa na Waziri Mkuu wa Ethiopia

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,503
Rais wa Marekani bwana Donald Trump amezidi kuwa kituko duniani pale aliposikika akiwalaumu watoaji wa tuzo ya Nobel kwa kumpatia tuzo hiyo Waziri Mkuu wa Ethiopia na kumuacha yeye ambaye amefanya kazi kubwa kuleta amani huko Ethiopia na kwingineko.
 
Merekani wana raisi wa ajabu haijawahi kutokea ( in Tundu lissu's voice ).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete alisema za kuambiwa changanya na zako.Trump ni mtu wa usela si kila kauli unaibeba kama ilivyo.Ilikuwa katika muktadha upi hadi akasema hayo aliyosema?mambo mengine ya kawaida sana lakin mtu unahakuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…