Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,006
- 142,611
Hii ni muda mfupi tu uliopita.
Anaelekea Philadelphia [ambapo tayari Air Force One ishatua].
Yupo huko Philly kuhutubia mkutano wa GOP.
MwanaumeHii ni muda mfupi tu uliopita.
Anaelekea Philadelphia [ambapo tayari Air Force One ishatua].
Yupo huko Philly kuhutubia mkutano wa GOP.
Wakwetu MI mgonjwaHuyu ye haogopi kupanda ndege?
Kwani kuna kiongozi ambaye anayeogopa kupanda ndege karne hii.Huyu ye haogopi kupanda ndege?
Nani anaogopa kwani kupanda ndege?Namkubali sna huyu jamaaa