kabwekasoma
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 260
- 153
Rais theodora obiang atimizi miaka 40 madarakani.Aliingia madarakani mwaka 1979 kwa kumpindua mjomba wake na kisha alimnyonga.Anasifika kwa ukatili na ufisadi mkubwa kwani amejilimbikizia mali za kutosha.Pia hukusanya waganga kona na pande zote nchini mwake kutambikia ikulu.Waganga hawa wanasemekana ni hatari zaid ya wale wa GAMBOSHI.Anamundaaa kijana wake kuwa mrithi wake ambaye sasa ni makamu wa Rais wa nchi hiyo