Rais sio mungu!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,223
11,288
Ndugu wa tanzania napenda kusema tusitumie nguvu nyingi kuogopa kauli za vitisho za viongoz wa Taifa hl. Mwisho unakuja na nilazima ithibitike Mungu atasimama kujibu kauli zao. Naiman sana Mungu yupo na atafanya! Amen
 
Amina. wewe ndo umekuja a maneno yenye afya. nimesoma koments za wengi, zinakatisha tamaa. Rais sio Mungu. Ila nawaasa watanzania kuliombea Taifa katika kipindi hiki, maana kumwaga damu za wasio hatia ni roho ya kuzimu.
 
Back
Top Bottom